Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Sio DC ni DEDHuyo DC ni wa kufukuza kazi kabisa, sijui anajiona nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio DC ni DEDHuyo DC ni wa kufukuza kazi kabisa, sijui anajiona nani
Alikunywa wanzuki huyoYule jamaa ni pimbi kweli,
Kawekwa hapo kitini ili kujibu hoja na kero za wakurugenzi tu?,na sio wananchi kwa ujumla.Pimbi na nusu.
Madaraka ya kulevya..yana wala wengi.
Gondwe kwa ninavyomfahamu ni mtu mmoja humble sana sio vizuri kusema amejipendekezaNyota ya Kimafanikio ya DC Godwin Gondwe ilianza Kuwakia hapo ITV na Radio One hivyo ningeshangaa kama asingejipendekeza Kwao kama hivi.
Gondwe kama anataka kuendelea kwenye nafasi yake ya u DC aachane na huyo DED.Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha shule hiyo kina mgogoro kati ya wananchi wa eneo hilo na manispaa ya Temeke.
Kadhalika mh Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Source ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
Gondwe kama anataka kuendelea kwenye nafasi yake ya u DC aachane na huyo DED.
Huyo DED ni "deep state" squad member kama alivyo Sabaya... na ndiyo wapendwa numero uno wa mamlaka iliyowaweka!
YeahUkiwa deep state inakufanya ukose utu ndani yako, basi ni upumbavu wa aina yake.
mkuu wa wilaya kaomba msamaha kwa niaba ta dedWamejibuje
Sorry mkuu nilidhamilia kuandika DED na wala sio DCDC ana kosa gani?
Ndio dawa yao tu hawa mbwa...Unamrekodi utumbo wake kisha unatuma. Kama yule kenge wa LATRA tu.Huyo mkurugezi ajiandae kufanya kazi nyingine..hakuna namna!..
DED hana Maisha Marefu KAZINIMkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha shule hiyo kina mgogoro kati ya wananchi wa eneo hilo na manispaa ya Temeke.
Kadhalika mh Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Source ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
ndio uungwana ulivyo hasa ukijua umekosea.Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi. Kiwanja cha shule hiyo kina mgogoro kati ya wananchi wa eneo hilo na manispaa ya Temeke.
Kadhalika mh Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha mkurugenzi wa manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Chanzo: ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
Maajabu kwelikweliAmbao faili zao alilala nazo zaid ya mwaka akuzikagua
Huko ni kuzidi kumtia kiburi huyo mkurugenzi kwanini asiombe yeye mwenyewe? Kwani kafa hadi aombewe radhi? DC naya aache kujidhalilisha kwa kufanya kazi zisizo muhusu. Au ana taka kiki ya kuonekana yeye ni muungwana sana?Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi.
Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke.
Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote nchini kufuatia kitendo cha Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumkashifu mwandishi wa habari chipukizi wa ITV Richard Stephen kwamba hana hadhi ya kuongea naye na kwamba yeye hadhi yake ni mkurugenzi wa ITV Joyce Mhaville.
Chanzo: ITV.
cc: Erythrocyte, Gentamycine
Maendeleo hayana vyama!
ndio uungwana ulivyo hasa ukijua umekosea.
Kumbuka Gondwe ndiyo mkuu wa wilaya ya temeke, kwahiyo kuomba radhi kwa niaba ya mkurugenzi katika wilaya yake sio vibayaAliye kosea haja omba radhi anaye omba radhi haja tumwa hii imekaaje?
Uungwana ni vitendo!Aliye kosea haja omba radhi anaye omba radhi haja tumwa hii imekaaje?