Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Madaraka ya kulevya.. Anapomgombeza mtu mzima anajisikiaje kwa mfano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini tukumbuke kuwa wanaiga toka kwa Jiwe kwa namna anavyoendesha nchi na yeye Jiwe mwenyewe anafurahia namna hao PhD holders wanavyodharirishwa mbele ya media!Wateule wa Mh Rais wanakosea sana katika utendaji wao. Mambo kama haya anayofanya Jerry Muro ni kinyume na misingi ya Uwajibikaji katika nafasi za uongozi. Kiongozi hapaswi kumfokea na kumdhalilisha kiongozi mwingine hadharani.
Malisa let's just celebrate.... Wakati si milele.... Watunza kumbukumbu wapo na hawaachi kitu...Na Malisa GJ
Mkuu wa Wilaya Jerry Muro anamtukana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha DC, Dr.Wilson Mahela (PhD) mbele ya Mkuu wa mkoa na macamera ya waandishi wa habari yanawamulika. Uongozi wa kijinga sana huu. Kanuni za maadili ya uongozi haziruhusu kufanya huu utoto. Kama Mkurugenzi alichelewa kufika, kuna namna bora ya kumuwajibisha ambayo ingekua na tija kuliko huu ujinga uliofanya Jerry. Tatizo mnateuliwa teuliwa tu bila hata kupewa semina elekezi.
Mtu hajawahi kuwa hata CR darasani leo anakuwa DC ama RC what do u expect? Matokeo yake ndio haya ya kuja kutukanana hadharani na mnaona sifa kurekodiwa. Halafu wewe Jerry sio mamlaka ya nidhamu ya DED. Pengine huo uDC umekulevya. Mamlaka ya nidhamu ya DED ni RAS. Kwahiyo kama alichelewa ungeweza kuzungumza nae baadae na kumueleza masikitiko yako, na kama angekaidi ungemripoti kwa RAS. Sio kutukanana hadharani.
Unamtukana DED na kumuita mpuuzi na mpumbavu hadharani, halafu unategemea awasimamie watendaji wa Halmashauri. How that possible? Atawasimamiaje wakati wameona akiitwa mpuuzi na mpumbavu hadharani? Na wenyewe watampuuza tu kama ulivyompuuza wewe. Ni aibu viongozi kuzozana hadharani. Wahenga walisema wazazi wapumbavu pekee ndio wanaoweza kugombana mbele ya watoto. Kulikua na tatizo gani mngeendelea na hiyo ziara then badae mkae na kujadili?
Halafu kichekesho unamlaumu DED kwa kuchelewa dakika 10, lakini wewe umepoteza dakika nyingi zaidi kumtukana. Hivi lengo lako lilikua kuokoa muda kweli?
Huyu Dr.Wilson Mahela ni PhD holder. Amefundisha chuo kikuu UDSM muda mrefu wakati wewe ukifanya ukanjanja kwenye media. Amekuzidi umri, amekuzidi elimu, amekuzidi busara. Kama umeshindwa kumheshimu kwa nafasi yake basi ungemheshimu hata kwa umri wake tu.
Then huyo DED unayemdhalilisha ndo anayekuweka mjini. Tunajua maDC hamna budget. Mnalelewa na ofisi za DED kwa kila kitu. Hadi mafuta ya gari mnaomba kwao. Sasa how comes unamdhalilisha mtu anayekufanya usurvive? Kesho ukimuomba mafuta akikunyima utamfanya nini? Au ndo utaita tena macamera uanze kumtukana? Growup na uache sifa za kijinga. Uongozi ni kujifunza. Take time to learn from your elders kabla ya kukurupuka. Unajidhalilisha na kumdhalilisha aliyekuteua.!
Lakini tukumbuke kuwa wanaiga mfano toka kwa Jiwe kwa namna anavyoendesha nchi na yeye Jiwe mwenyewe anafurahia namna hao PhD holders wanavyodharirishwa mbele ya mediaWateule wa Mh Rais wanakosea sana katika utendaji wao. Mambo kama haya anayofanya Jerry Muro ni kinyume na misingi ya Uwajibikaji katika nafasi za uongozi. Kiongozi hapaswi kumfokea na kumdhalilisha kiongozi mwingine hadharani.
Kisa hujateuliwa hahahaaaa chama bomu hiliThat is not how we are supposed to serve.
Kama mwanachama mtiifu wa CCM ambayo inajukumu la kuisimamia Serikali.
Naomba mheshimiwa D.C. aonywe na mamlaka ya uteuzi.
Kwahiyo "dakika 10 tu" umemaanisha nini? Unaona dkk 10 ni muda mfupi sana? Ndio maana waafrika tuko nyuma sana, hatujui thamani ya muda. Na huyo ni DED ambaye ana gari na dereva. Tujifunze kuthamini muda.DC mpya wa Arumeru, Jerry leo ameonekana kwenye video fupi akimfokea mkurugenzi wa manispaa kama mtoto mdogo kwa kuchelewa dakika 10 tu, tukio hilo limetokea mbele ya RC ( Gambo ) na baadhi ya viongozi wa Arusha, huku Gambo akionesha dhahiri kutofurahiswa na tukio lile
Huu ndio mfano wa maudhui wa kale kawimbo kanakoitwa 'Madaraka ya Kukevya'
So, unadhani DED atakaidi kutoa mafuta? Unachekesha kijana, hadi RC sometimes anaomba mafuta kwa DED na lazima atoe tu.Nijuavyo DED kwa mafungu wapo vizuri zaidi,Mara nyingi DC, wanaomba hata mafuta.Awe na akiba ya maneno.
Na Malisa GJ