Mkuu hama huo mkoa sio wa kiumeKwa hiyo polisi wanalipwa kwa kazi gani?
Does it mean ule upuuzi wa kulinda sungusungu?
Yaani nikeshe usiku nazunguka mitaani na rungu bila malipo halafu kesho yake niende ofisini kwangu?
Hivi vidangaji vya bongo muvi vilipewa vipi machaka kama haya!!!
Mimi kulinda siendi na hela sitoiTumeruhusu maisha yetu yaamuliwe na politicians na chawa wao...police state
Kwa hiyo tutakuwa tunalinda sungusungu usiku?Ulinzi shirikishi ni jambo la kawaida; huwezi kutegemea polisi wachache kulinda kila sehemu.
Usichoelewa ni kitu gani hapoKwa hiyo tutakuwa tunalinda sungusungu usiku?
Welldone mkuu Nami pia sitofanya hayoMimi kulinda siendi na hela sitoi
Defund TanPol. Fund local policeKuna tatizo la ulinzi Wilaya ya Temeke, suluhisho ni Wilaya kuajiri polisi watakaolipwa na mapato ya ndani ya Wilaya.
No Wilaya ya Temeka ipeleke maombi ya polisi 50 CCP Moshi na wakae na Polisi kuangalia jinsi watakavyoweza kufanya kazi pamoja na ikiwezekana, Wilaya ikipunguza mahitaji wanaweza kuajiriwa na jeshi la polisi.Defund TanPol. Fund local police
Ndiyo matokeo ya wenye akili ndogo kupewa madaraka. Ila Tanzania bila wananchi kumka na kukiwasha hakutakuwa na mabadiliko yoyote na hawa watawala wataendelea kutuona mazuzu. Wananchi tungekuwa wakali vijitu vya namna hii hata uenyekiti wa nyumba kumi visingepewa.Kwa hiyo polisi wanalipwa kwa kazi gani?
Does it mean ule upuuzi wa kulinda sungusungu?
Yaani nikeshe usiku nazunguka mitaani na rungu bila malipo halafu kesho yake niende ofisini kwangu?
Hivi vidangaji vya bongo muvi vilipewa vipi machaka kama haya!!!
Ndugu zangu, bila kufumua mfumo na kusuka kila kitu upya ni bure kabisa. Tungekuwa tumerudisha madaraka na maamuzi kwa wananchi haya mambo yanafanywa kimkoa au kiwilaya kwa kutumia viongozi halali waliochaguliwa na wananchi na siyo hivi vyangudoa. Wananchi wangewawajibisha viongozi wao kama wanaona wanalegalega na usalama unakuwa wa mashaka. Hata kama ni kuajiri local security gurds ingekuwa rahisi kwani kila sehemu ingekuwa na uwezo wa kukusanya mapato na kuwalipa. Hawa washenzi wameshatuona sisi ni mazuzu ndiyo maana wanatoa amri za kijinga kama hizi. Unawezaje kumwambia dereva au mfanyakazi yoyote akeshe akilinda wakati kesho yake anatakiwa kazini na kodi analipa? Hizo kodi zinaenda wapi?No Wilaya ya Temeka ipeleke maombi ya polisi 50 CCP Moshi na wakae na Polisi kuangalia jinsi watakavyoweza kufanya kazi pamoja na ikiwezekana, Wilaya ikipunguza mahitaji wanaweza kuajiriwa na jeshi la polisi.
Labda sijaelewa na kujikuta niko na makasirikoUsichoelewa ni kitu gani hapo
IGP bomu kabisa kuwahi kutokeaBaada ya Mshikemshike wa Chanika naona wamekuja na ulinzi shirikishi, Ila ntapata mashaka pale IGP aliposema nchi iko salama ilhali kule Chanika watu wanatembezewa mapanga na kuibiwa.
Anaagiza watu wakeshe huku yeye anakesha kwenye shuka na mumeweNdugu zangu, bila kufumua mfumo wa kusuka kila kitu upya ni bure kabisa. Tungekuwa tumerudisha madaraka na maamuzi kwa wananchi haya mambo yanafanywa kimkoa au kiwilaya kwa kutumia viongozi halali waliochaguliwa na wananchi na siyo hivi vyangudoa. Wananchi wangewawajibisha viongozi wao kama wanaona wanalegalega na usalama unakuwa wa mashaka. Hata kama ni kuajiri local security gurds ingekuwa rahisi kwani kila sehemu ingekuwa na uwezo wa kukusanya mapato na kuwalipa. Hawa washenzi wameshatuona sisi ni mazuzu ndiyo maana wanatoa amri za kijinga kama hizi. Unawezaje kumwambia dereva au mfanyakazi yoyote akeshe akilinda wakati kesho yake anatakiwa kazini na kodi analipa? Hizo kodi zinaenda wapi?
Upo sahihiTupatieni bunduki. Sisi raia tuko tayari kuilinda. Siyo niwe na rungu wakati sijui adui ana silaha gani.
Polisi huwa wanazungukia bar pekeeTungepunguza police post maana sasa hivi polisi wetu ni maafisa wanangoja waletewe wahalifu. Uanze tena utaratibu wa doria. Polisi wawe usiku kucha wanazunguka kwenye makazi ya raia. Vituo vitakavyobaki vipatiwe usafiri ili likitokea tukio waweze kufika mapema. Ni aibu vibaka waachiwe kutamba kwa saa nzima wakati polisi wanangoja kupambazuke ndio wafike kwenye tukio.
Amandla...
Kunywa bia na kutafuta mademuSasa kazi ya polisi ni nini
Issue polisi wamejiweka mno barabarani na hawataki kulinda raia na Mali zaoUlinzi shirikishi ni jambo la kawaida; huwezi kutegemea polisi wachache kulinda kila sehemu.