Tumieni askari wa manispaa ( mgambo), huu utaratibu unaopendekeza haufaii kwa mazingira yetu
Bora nile nyama hiyo hela kuliko kwenda kuitupa kwa sababu za kijingaNitakulipia mrembo
Temporarily mkuu mpaka hali itulieNchi yetu bado ni salama Sana hatujafika huko kutumia jeshi kupambana na vijana wadogo.
Usalama wako unaita ujinga ?Bora nile nyama hiyo hela kuliko kwenda kuitupa kwa sababu za kijinga
Hiyo hali mamlaka ikitaka kudhibiti haishindwi.Temporarily mkuu mpaka hali itulie
Inaelekea wee ni Kachero eti...Hiyo hali mamlaka ikitaka kudhibiti haishindwi.
No!.. huwa tunasikia Serikali ina mkono mrefu, huenda mamlaka haijaamua tu kunyoosha mkono mpaka huko Temeke.Inaelekea wee ni Kachero eti...
Kwahiyo wananchi wote tufanye kazi za sungusungu?Usalama wako unaita ujinga ?
Uhalifu ulikoma kipindi cha Magufuri,hata magari yalirusiwa kusafiri usiku, kwasababu wahaarifu waliisha, maana kabla ya hapo magari kutembea ilikuwa mwisho saa 6 usiku, kipindi cha Magufuri kila Mtu aliwajibika kulinda kibarua chake,sio Samia eti mtu afanye kazi kutoka moyoni,tunaanza kuona matokeo yakeKwhy kipindi cha Magufuri hakuna hakukuwa na uharifu.??
Hivi nyie watu watu vichwa vyenu huwa mnaviacha wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, watafanya baadhi mtakaowalipa kwa michango yenu.Kwahiyo wananchi wote tufanye kazi za sungusungu?
Yeye kama mkuu wa Wilaya alipaswa achimbe biti moja matata kupitia polisi, yaani panya road wote wangeogopa.... kwa hiyo nini kifanyike? Magufuli alishakufa na hawezi kurudi tena forever! Hana msaada wowote kwa sasa.
Polisi wanafanya kazi Gani?Hapana, watafanya baadhi mtakaowalipa kwa michango yenu.
Hata mkiamua kufanya kwa sababu ya wingi wenu, kutakuwa na zamu na sio kila siku kila mtu atalinda.
Polisi hawapo wengi kiasi cha kutosha kulinda mitaa yote ya nchi hii, lazima wana jamii mjiongeze.Polisi wanafanya kazi Gani?
Na Kodi zetu zinafanya kazi gani?
Nitalinda nyumba yangu mwenyewePolisi hawapo wengi kiasi cha kutosha kulinda mitaa yote ya nchi hii, lazima wana jamii mjiongeze.
Jukumu la usalama wako, lianzie kwako mwenyewe.
Utalinda dhidi ya nani ?....Nitalinda nyumba yangu mwenyewe
Hili ndilo muhimu sana.Kuna tatizo la ulinzi Wilaya ya Temeke, suluhisho ni Wilaya kuajiri polisi watakaolipwa na mapato ya ndani ya Wilaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kimeumanaaa.Imekuwa kama lazima.
Nilisikia fununu huku mtaani kwetu eti usipoenda kulinda unalipa elfu kumi.
Kabisa sahihi sana.Raia walijipanga
Mara nyingi vibaka wana malizana na raia,
Polisi wana malizana na majambaz
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naishi geto mwenyewe
Wakianza na hapa mtaan, nahamia hostel, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nile nyama hiyo hela kuliko kwenda kuitupa kwa sababu za kijinga