Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mana mtaa fulani sungu sungu hao ndio wezi, yaani wakilinda ndio wizi unatokea tena ule wa kiufundi.Kuna tatizo la ulinzi Wilaya ya Temeke, suluhisho ni Wilaya kuajiri polisi watakaolipwa na mapato ya ndani ya Wilaya.
Ni kweli watu wachangie mawazo nini kifanyike ili kukomesha kabisa hili tatizo !... kwa hiyo nini kifanyike? Magufuli alishakufa na hawezi kurudi tena forever! Hana msaada wowote kwa sasa.
Kama huwezi kushiriki wewe mwenyewe huwa yapo malipo maalum yaliyowekwa kwa MTU ambaye hawezi kushiriki kulinda, na malipo hayo wanapewa wale ambao wanalinda !! Ni makubaliano yanayofanyika kwenye baadhi ya mitaa tangu zamani ! Wala sio kitu cha ajabu na wala sio kitu kipya !!Kwahiyo wananchi wote tufanye kazi za sungusungu?
Hivi huwezi kujibu hoja kwa ustaarabu bila kutukana? Kuna sehemu yoyote kwenye hoja yangu nimetukana? Anyway nimesamehe. Acha maisha yaendelee
Mimi siendi kokote na hiyo hela silipi.Wakianza na hapa mtaan, nahamia hostel, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mali zako huwa unalinda dhidi ya Nani?Utalinda dhidi ya nani ?....
Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kimeumanaaa.
Mali zako huwa unalinda dhidi ya Nani?
Au huwa hauzilindi?
Utalipia tu huo ulinzi shirikishi, kama hutaki jiandae kuingia 'lindo' upende usipende.Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
Ni kweli usipoziba UFA mapema ujue utajenga ukuta !! Hiyo huwa haina ubishi !! Kama tumeamua kufanya utani katika masuala mengine nchini basi tujue masuala yanayohusu usalama huwa hayafanyiwi UTANI !!! ULINZI SHIRIKISHI NI MUHIMU SANA !! Community security zipo hata katika nchi zilizoendelea !! Tusijidanganye eti hii ni kazi ya Polisi pekee !!Nchi ikianza ku loose kila sector inalega lega .panya road wataingia mtaani, ajali zitaongezeka, wizi maofisini ndo usiseme , tembo watatikiswa , serikali za mitaa watavunja sheria ,migomo vyuoni /mashuleni vitashamiri nk so hizi ni rasharasha
Kwani polisi na mgambo kazi yao nn? Wawachukue bas wale walio ktk makambi ya jeshi, khaaaah.Mimi siendi kokote na hiyo hela silipi.
Halafu Kuna watu sijui tuwaitaje[emoji848]wanasapoti huu ujinga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sana.Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
Kuna watu wanajikuta wakereketwa sanaKwani polisi na mgambo kazi yao nn? Wawachukue bas wale walio ktk makambi ya jeshi, khaaaah.
Kama mmeamua kuwa wanga basi kawangeni tuUtalipia tu huo ulinzi shirikishi, kama hutaki jiandae kuingia 'lindo' upende usipende.
Haiwezekani wewe unakoroma ndani wenzako wazunguke nje kama wanga sababu ya usalama wenu wote(ikiwemo wewe).
Unalichukulia poa jeshi la polisi.? Hatuna machafuko kusema kila sehemu polisi wapo. Lkn haya matukio machache polisi wanaweza yafanyia kazi.Idadi polisi sio kubwa kiasi cha kuwawezesha kulinda mitaa na vitongoji vyote vya nchi hii.
Hivyo Ulinzi Shirikishi ni muhimu sana. Muhimu ni kuwekwa utaratibu maalumu wa jinsi gani ufanyike na wananchi waelimishwe juu ya umuhimu wa wao kujilinda. Tukiwaachia Polisi kila kitu tutaendelea kupigwa
Usipolinda changia helaHao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
Ukichangia wewe na ukilinda wewe inatoshaUsipolinda changia hela
Mambo ya ulinz shirikishi iko sehemu nyingi duniani!
Ova