DC Jokate Mwegelo atoa siku saba kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao

DC Jokate Mwegelo atoa siku saba kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao

Daaaaa! shikamooo jokate!! Mkuru wa wilaya jamani usimdharau mutu!!!! shikamoo tena nimekoma mie!
 
Kuna tatizo la ulinzi Wilaya ya Temeke, suluhisho ni Wilaya kuajiri polisi watakaolipwa na mapato ya ndani ya Wilaya.
Kweli mana mtaa fulani sungu sungu hao ndio wezi, yaani wakilinda ndio wizi unatokea tena ule wa kiufundi.
 
... kwa hiyo nini kifanyike? Magufuli alishakufa na hawezi kurudi tena forever! Hana msaada wowote kwa sasa.
Ni kweli watu wachangie mawazo nini kifanyike ili kukomesha kabisa hili tatizo !
 
Kwahiyo wananchi wote tufanye kazi za sungusungu?
Kama huwezi kushiriki wewe mwenyewe huwa yapo malipo maalum yaliyowekwa kwa MTU ambaye hawezi kushiriki kulinda, na malipo hayo wanapewa wale ambao wanalinda !! Ni makubaliano yanayofanyika kwenye baadhi ya mitaa tangu zamani ! Wala sio kitu cha ajabu na wala sio kitu kipya !!
 
Nchi ikianza ku loose kila sector inalega lega .panya road wataingia mtaani, ajali zitaongezeka, wizi maofisini ndo usiseme , tembo watatikiswa , serikali za mitaa watavunja sheria ,migomo vyuoni /mashuleni vitashamiri nk so hizi ni rasharasha
 
Hivi huwezi kujibu hoja kwa ustaarabu bila kutukana? Kuna sehemu yoyote kwenye hoja yangu nimetukana? Anyway nimesamehe. Acha maisha yaendelee

Musamehe bure huyo ana hasira na hao jamaa zake wa CCM, mie binafsi naunga ulinzi shirikishi lakini uratibiwe kwa uangalifu mkubwa sana, kuna wakati JKT walipewa silaha na wakaingia katikati ya jiji kulinda raia matokeo yake ujambazi wa silaha ulipanda chati mpaka serikali ikasitisha zoezi hilo
 
Wakianza na hapa mtaan, nahamia hostel, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siendi kokote na hiyo hela silipi.

Halafu Kuna watu sijui tuwaitaje🤔wanasapoti huu ujinga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dar kimeumanaaa.
Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
 
Mali zako huwa unalinda dhidi ya Nani?
Au huwa hauzilindi?
Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
Utalipia tu huo ulinzi shirikishi, kama hutaki jiandae kuingia 'lindo' upende usipende.

Haiwezekani wewe unakoroma ndani wenzako wazunguke nje kama wanga sababu ya usalama wenu wote(ikiwemo wewe).
 
Nchi ikianza ku loose kila sector inalega lega .panya road wataingia mtaani, ajali zitaongezeka, wizi maofisini ndo usiseme , tembo watatikiswa , serikali za mitaa watavunja sheria ,migomo vyuoni /mashuleni vitashamiri nk so hizi ni rasharasha
Ni kweli usipoziba UFA mapema ujue utajenga ukuta !! Hiyo huwa haina ubishi !! Kama tumeamua kufanya utani katika masuala mengine nchini basi tujue masuala yanayohusu usalama huwa hayafanyiwi UTANI !!! ULINZI SHIRIKISHI NI MUHIMU SANA !! Community security zipo hata katika nchi zilizoendelea !! Tusijidanganye eti hii ni kazi ya Polisi pekee !!
 
Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh sana.
 
Utalipia tu huo ulinzi shirikishi, kama hutaki jiandae kuingia 'lindo' upende usipende.

Haiwezekani wewe unakoroma ndani wenzako wazunguke nje kama wanga sababu ya usalama wenu wote(ikiwemo wewe).
Kama mmeamua kuwa wanga basi kawangeni tu
Hela sitoi na hakuna wa kunifanya chochote maana mimi siyo polisi wala sungusungu.
 
Idadi polisi sio kubwa kiasi cha kuwawezesha kulinda mitaa na vitongoji vyote vya nchi hii.
Hivyo Ulinzi Shirikishi ni muhimu sana. Muhimu ni kuwekwa utaratibu maalumu wa jinsi gani ufanyike na wananchi waelimishwe juu ya umuhimu wa wao kujilinda. Tukiwaachia Polisi kila kitu tutaendelea kupigwa
Unalichukulia poa jeshi la polisi.? Hatuna machafuko kusema kila sehemu polisi wapo. Lkn haya matukio machache polisi wanaweza yafanyia kazi.

Kimsingi ni uzembe tu wa jeshi letu. Waambie wadhibiti harakati za siasa uone watakavyofanya mazoezi nchi nzima.

Iweje matukio madogo tu ya uhalifu wanashindwa.

Inabidi waharifu wafikirie mara kumi kutenda,maana ikitokea wakakamatwa wajue imeisha hiyo.
 
Wengine watatumia hiyo nafasi kwenda kugegeda tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao wanaojidai wakereketwa wa ulinzi shirikishi ndio waende kulinda.
Mimi siwezi toka kwangu usiku ,niache kulala eti niende kuzunguka mtaani kama nawanga hivi!
Usipolinda changia hela

Mambo ya ulinz shirikishi iko sehemu nyingi duniani!

Ova
 
Nataka nimtembelee Mkuu wangu wa Wilaya siku za hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom