DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

Hapo sasa
 
Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.
Kwa hiyo unatumia hili shamba la mbowe kuficha ule uhuni wako wa wizi tena uporaji wako uliokubuhu kila kukicha?
Unakumbuka kile kisa cha kupotea na fedha za watu wa bodaboda Ar zaidi ya milioni 400?
majuzi duka la vitenge! huyu mtu hana maadili kabisa ya kuwa kiongozi!
 
Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
Walianza na Mbowe ona sasa wamegeukiana wao kwa wao.
Dhambi ya kula nyama za watu,wanaanza na majirani wakiisha, wanawafanya kitoweo ndugu zao.
Kweli maendeleo hayana chama,au nasema uongo ndugu zangu?.
 
Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
Lakini pia ukae ukijua kamwe hauwezi kuwa maisha mazuri kama wanayoishi akina Mbowe utaendelea kuishi maisha ya hovyo kama uliyo nayo sasa hadi utakapokufa.
 
Akili za Sabaya Bwana mmmmhhh.................................................................................................................................
 
ume describe Ccm yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…