Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuteka na kuuwa wanasiasa wenzieMwenyewe ana kandarasi ya nini.
Hapo sasaMkuu wa wilaya ya Hai Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.
Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.
Ole Sabaya anasema amepokea hati ya mahakama ya kulifunga kabisa shamba hilo ili kuwaponya wananchi.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo unatumia hili shamba la mbowe kuficha ule uhuni wako wa wizi tena uporaji wako uliokubuhu kila kukicha?Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.
Alishapandishwa cheo kua RC Mtwara.Basi ni jambo jema.
Bwashee hao waliopoteza ajira kwenye hill shamba la Bw Mbowe wanamlaani huyo mkuu Wa wilaya,sidhani kama bado no mkuu Wa wilaya.
Doh hakika ile miaka ya utawala Wa Lucifer kuitawala dunia ndo huu sasa,kama ilivyo kwenye ufunuo.Alishapandishwa cheo kua RC Mtwara.
Walianza na Mbowe ona sasa wamegeukiana wao kwa wao.Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
Lakini pia ukae ukijua kamwe hauwezi kuwa maisha mazuri kama wanayoishi akina Mbowe utaendelea kuishi maisha ya hovyo kama uliyo nayo sasa hadi utakapokufa.Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
Akili za Sabaya Bwana mmmmhhh.................................................................................................................................Mkuu wa wilaya ya Hai Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.
Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.
Ole Sabaya anasema amepokea hati ya mahakama ya kulifunga kabisa shamba hilo ili kuwaponya wananchi.
Maendeleo hayana vyama!
Naona wameamua kumchafua ili atolewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
huyu dogo hajamkomesha mtu yoyote sanasana kajidhalilisha tu, juzi hapa anakula makasi kule matejoo watu wanamwangalia tu ,Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
Kiki imebuma bwashee!Mpenda kiki katika ubora wake.
ume describe Ccm yoteNakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu.
Ukiwa nao wanakupamba kweli, ukitoka kidogo wanakumaliza kama hawakujui.
Habari gani ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
Kuna vita gani ndugu,au ya wale waliokwamia awamu iliyopita nasikia mnavita yenu,kwani ni yenu na nani?Au ndio ile msiyomjua hata adui yenu.hii vita ni hatari
Leo wanachekelea!Kwa hiyo hao ndio maadui wa maslahi yenu.
Haya manka!Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?