Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
🤣🤣🤣Wanajua bado Magufuli yupo madarakani
NandiHivi alipovamia ile Hotel,huyu jamaa alikuwa ana force aende chumbani kwa msanii mmoja alifikia hotelini hapo,je ni nani huyo msanii
Ova
Hakika, muda ndo kila kitu!Muda ni mwalimu mzuri siasa za kukomoana nchi hii zitaenda kizazi hata kizazi siku mnaowapatiliza Leo wakishika madaraka basi mjue wajukuu zenu watatafutwa mpaka kuku Wawafugao watapatilizwa heri Yao waumiao Sasa maana siku zaja za kulipa kisasi kikavu bila huruma naiona kesho yenu mnaotumia siasa juu ya sheria Bora sheria ingekuwa juu ya siasa.
Utabiri ni huu maowafanyia mabaya Leo hawatawalipiza Ila watakaowalipa sawia hamtawajua iwe Leo au kesho uovu wenu unaonwa na wengi.
Hahahaaaa..... na tindo na yule mrangi!
Mpo Leo wanafki nyie ?!Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo[emoji23][emoji23][emoji2]
Wanableed saa hiziMpo Leo wanafki nyie ?!
Vipi upo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
Hebu tuambie bas na Leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaa..... na tindo na yule mrangi!
Wee uko wapi eti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo[emoji23][emoji23][emoji2]
Leo kakomeshwa yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juzi nimeona akichezewa ngoma na mapambio kibao.Na leo anguko limekuja very soon km alivyotabiri
Acha hasira bas, kwani nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani alikwambia atakaa hapo milele?
Pumabvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari gani ndugu yangu
Green house zinatiririssha Simu gani? Ulishawahi kuziona? Unajua zinavyotumika?
Leo kapumzishwa na yuko under arrest 🤣🤣🤸🤸🤸🤸[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo😂😂😃
Hadi siaminiBwashee taratiiibu fahamu zinakurudia [emoji856]
Imani yako imekuponya, nenda zako kwa amani[emoji1787]Huyu jamaa namkubali sana kwa kumkomesha Mbowe na genge lake.
Sijui ID yako naichanganya na ya nani mtema sumu!Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?