DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

Muda ni mwalimu mzuri siasa za kukomoana nchi hii zitaenda kizazi hata kizazi siku mnaowapatiliza Leo wakishika madaraka basi mjue wajukuu zenu watatafutwa mpaka kuku Wawafugao watapatilizwa heri Yao waumiao Sasa maana siku zaja za kulipa kisasi kikavu bila huruma naiona kesho yenu mnaotumia siasa juu ya sheria Bora sheria ingekuwa juu ya siasa.

Utabiri ni huu maowafanyia mabaya Leo hawatawalipiza Ila watakaowalipa sawia hamtawajua iwe Leo au kesho uovu wenu unaonwa na wengi.
Hakika, muda ndo kila kitu!
 
Mbona anguko lake limefika mapema kabla ya chalii wa Ara hatujamshangilia??🙄🙄🙄
 
Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo[emoji23][emoji23][emoji2]
Wee uko wapi eti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
moja ya faida ya green house katika kilimo ni kupunguza matumizi ya sumu katika kilimo,sababu kubwa ni kutokana na kuzuia wadudu kuingia katika mashamba, pili hata matumizi ya maji ni madogo kiasi kwamba hakuna uwezekano wa kutiririsha maji, kwa hiyo kilichofanyika ni fitina na uchawi wa maisha tu
 
Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Sijui ID yako naichanganya na ya nani mtema sumu!
 
Back
Top Bottom