DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Mnazusha sana . ndio sera mpya ya kuteka mioyo ya watu hasa pimbilizi?😀📏

Tafuteni hela ya kula mtakufa njaa hakuna ruzuku
 
Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tuu.
Ukiwa nao wanakupamba kweli, ukitoka kidogo wanakumaliza kama hawakujui.
Ndio siasa hizo mkuu
 
Tunamuomba aokoe maisha ya wananchi juu ya sakata la mahindi yenye sumu pia.
 
Huyu jamaa namkubali Sana kwa kumkomesha mbowe na genge lake
Muda ni mwalimu mzuri siasa za kukomoana nchi hii zitaenda kizazi hata kizazi siku mnaowapatiliza Leo wakishika madaraka basi mjue wajukuu zenu watatafutwa mpaka kuku Wawafugao watapatilizwa heri Yao waumiao Sasa maana siku zaja za kulipa kisasi kikavu bila huruma naiona kesho yenu mnaotumia siasa juu ya sheria Bora sheria ingekuwa juu ya siasa.

Utabiri ni huu maowafanyia mabaya Leo hawatawalipiza Ila watakaowalipa sawia hamtawajua iwe Leo au kesho uovu wenu unaonwa na wengi.
 
Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Kina sabaya ni vijana sana nawaonea huruma kwani wanatumia mamlaka yao vibaya watakapotimiza miaka 50 ya kuishi duniani wanaemfurahisha Leo wakati huo atakuwa Kama kifuu cha Nazi kilichokunwa mwaka 1993 na sasa 2021 Kiko kwenye tundu la choo Cha mama Mwajuma Mpekani pale tandale KKKT heri kijana mwenye madaraka Leo akayatumia kwa hekima vinginevyo ole ole ole wake na ole iwe juu yake.

Dunia huzunguka na siku hazigandi. Anaejua makonda kitampata Nini baada ya aliemtumikia kumtupa anajua Mungu watu ambao makonda aliwaumiza wanangoja muda wa ku strike sawia.

Jiulize ukoo wa Ben Saanane wanaomba nini kwa Mungu wao Sasa na mizimu Yao only kwakuwa hawawezi fanya chochote je siku wakipata madaraka hakuna asiejua kisasi kitaelekezwa wapi? Mungu atupe hekima.
 
Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu...
Hizo ni sifa kuu za wanaCCM Tz nzima.
 
Kina sabaya ni vijana Sana nawaonea huruma kwani wanatumia mamlaka Yao vibaya watakapotimiza miaka 50 ya kuishi duniani wanaemfurahisha Leo wakati huo atakuwa Kama kifuu Cha Nazi kilichokunwa mwaka 1993 na sasa 2021 ...
Mimi ninawakumbuka sana mama Mbilinyi na mama Kabendera. Mungu awape pumziko jema.
 
Tawala zote zilizopo a hazikutengeneza mazingira ya kuasisi visasi Kama ni michezo ya mafioso ilichezwa Sana ila kwa akili sio tawala hii ambayo kila umafioso unaacha dots zinazoweza kuwa traced easily labda wafungiane mafundo kitu ambacho ni kibaya Sana maana hula na wasiolika.
 
Kina sabaya ni vijana Sana nawaonea huruma kwani wanatumia mamlaka Yao vibaya watakapotimiza miaka 50 ya kuishi duniani wanaemfurahisha Leo wakati huo atakuwa Kama kifuu Cha Nazi kilichokunwa mwaka 1993 na sasa 2021....
Here we come Again,Ben Saanane whos that?

Huyu toka anaingia JF na nikamwambia be careful here wakati katoka India.

Wakaanza kugombana na bibi yake toka kkoo.

Mara kaingia kwenye politic.

Alichokipata anajua yeye na sijui kilichompata.

Ila tunaweza kuongea mambo kibao bila kuchomekea upuuzi huu.

Mimi ninaamini hakuna kiongozi yeyote anaweza kumdhuru raia wake neema hata iweje.

Akimshindwa si atampeleka tu kwenye vyombo vya sheria.

Mamlaka hayo anayo.

Muwe mnatumia akili kidogo tu kufikiria.
 
Umeandika sawa waweza kuwa sahihi sawa ila ishu ya BRS itahojiwa tuuuu hizi sio Zama za kina Gilman Rutihinda.
Hata ihojiwe who Cares anyway?

Nilimpa ushauri tu km kijana mwenzangu kwamba nenda polepole hapo uko 3world Country.

Ndo kwanza ikawa tabu.

Anyway tunamwachia mungu maana sijui kakutana na nini,tulikua tunaongea tu kirafiki.
 
Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Sabaya alikuwa live satar tv jana na afya yake njema kabisa! Na hilo suala kaulizwa akasema amewasamehe wote mliomzushia,!

Chadema mkichukua akili zenu mlizokabidhi kwa yule mtwita aibu kama hizi hamtazipata.
 
Baada ya kutoa suluhisho nyinyi mnakomoa Mbowe,, aya mahindi yenu yana sumu,, sijui serikali ndiyo imetulisha mahindi yenye sumu TBS,,TFDA hawa sijui Sabaya hawajawaona,,,,, Uwendawazimu huu hatuji kuendelea ng'oo chini ya mwamvuli wa CCM
 
Back
Top Bottom