residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
CCM na taasisi zake ni zaidi ya wachawi.Hahahaaaa....... ndio maana Gambo alisema UVCCM wakizeeka watakuwa wachawi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM na taasisi zake ni zaidi ya wachawi.Hahahaaaa....... ndio maana Gambo alisema UVCCM wakizeeka watakuwa wachawi!
CCM na taasisi zake ni zaidi ya wachawi.
Mnazusha sana . ndio sera mpya ya kuteka mioyo ya watu hasa pimbilizi?😀📏Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Ndio siasa hizo mkuuNakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tuu.
Ukiwa nao wanakupamba kweli, ukitoka kidogo wanakumaliza kama hawakujui.
Muda ni mwalimu mzuri siasa za kukomoana nchi hii zitaenda kizazi hata kizazi siku mnaowapatiliza Leo wakishika madaraka basi mjue wajukuu zenu watatafutwa mpaka kuku Wawafugao watapatilizwa heri Yao waumiao Sasa maana siku zaja za kulipa kisasi kikavu bila huruma naiona kesho yenu mnaotumia siasa juu ya sheria Bora sheria ingekuwa juu ya siasa.Huyu jamaa namkubali Sana kwa kumkomesha mbowe na genge lake
Kina sabaya ni vijana sana nawaonea huruma kwani wanatumia mamlaka yao vibaya watakapotimiza miaka 50 ya kuishi duniani wanaemfurahisha Leo wakati huo atakuwa Kama kifuu cha Nazi kilichokunwa mwaka 1993 na sasa 2021 Kiko kwenye tundu la choo Cha mama Mwajuma Mpekani pale tandale KKKT heri kijana mwenye madaraka Leo akayatumia kwa hekima vinginevyo ole ole ole wake na ole iwe juu yake.Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Hizo ni sifa kuu za wanaCCM Tz nzima.Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu...
Mimi ninawakumbuka sana mama Mbilinyi na mama Kabendera. Mungu awape pumziko jema.Kina sabaya ni vijana Sana nawaonea huruma kwani wanatumia mamlaka Yao vibaya watakapotimiza miaka 50 ya kuishi duniani wanaemfurahisha Leo wakati huo atakuwa Kama kifuu Cha Nazi kilichokunwa mwaka 1993 na sasa 2021 ...
Here we come Again,Ben Saanane whos that?Kina sabaya ni vijana Sana nawaonea huruma kwani wanatumia mamlaka Yao vibaya watakapotimiza miaka 50 ya kuishi duniani wanaemfurahisha Leo wakati huo atakuwa Kama kifuu Cha Nazi kilichokunwa mwaka 1993 na sasa 2021....
Here we come Again,Ben Saanane whos that?
Huyu toka anaingia JF na nikamwambia be careful here wakati katoka India...
Nilizani ungemkubali kwa kutatua changamoto za watu wa eneo analolifanyia kaziHuyu jamaa namkubali Sana kwa kumkomesha mbowe na genge lake
Hata ihojiwe who Cares anyway?Umeandika sawa waweza kuwa sahihi sawa ila ishu ya BRS itahojiwa tuuuu hizi sio Zama za kina Gilman Rutihinda.
Sabaya alikuwa live satar tv jana na afya yake njema kabisa! Na hilo suala kaulizwa akasema amewasamehe wote mliomzushia,!Mliweza kuita press conference kwa Dr Mpango baada ya kuzushiwa kifo inashindikana nini kuita press conference kwa Sabaya akatueleza mwenyewe anayozushiwa?
Kwani amehama au unaota?Watu wanasahau kuna maisha baada ya siasa.
Hakuna mtu aliipenda CCM na kujitoa kwa jasho na damu kama Nape Nnauye!