DC wa Iramba, Joshua Nasari(dogo janja) ahamishiwa Monduli na DC Selemani Mwenda wa Monduli arudishwa tena Iramba

Duh
 
RC na DC wanatakiwa wawe wenyeji wa hayo maeneo na wachaguliwe na wananchi. Ili wajue matatizo ya watu wake. Kuna mmoja zama za mwalimu alipangiwa Kilimanjaro, katika mazungumzo yake akasema "nimekuja kutawala Wachaga".
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]na Kweli wacha wataliwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu yupo huko kaniambia hadi utumie awamu tatu ndipo mazao yapendeze. Pia ni ngumu kuipata, watu huenda Mbulu na Igunga kuisaka. Kwani Wakulima jimboni kwa Waziri wasipate mbolea kwa muda muafaka?
Kwa hiyo unaambiwa na mtu Yuko mbali na unalibeba hivyohivyo kwamba mbolea ya ruzuku iramba Haina ubora,kwamba kiwandani palikua na batch ya iramba pekee!!..uwe unatafakari
 
Ndio maana inatakiwa DC na RC wapigiwe kura na wananchi katika maeneo yao.
Huo ndio umuhimu wa katiba mpya.
Tatizo hivyo vyeo ni vya kufanya uchawa tuu kwa CCM na Raisi, na hawana nguvu yeyote ya budget, huwezi kuwa na nguvu au maamuzi ya kweli kama huna control na budget au mapato, kupeleka madaraka, maamuzi na nguvu karibu na wananchi sio vyeo tuu na kupiga kura, nguvu ya kweli ipo kwenye mapato na makusanyo (budget), katiba mpya lazima iweke msisitizo kwenye hilo
 
Nasari kwao siyo Monduli ni Meeu.
 
Sijuikwanini watu hawapendi wapiga kura wao wawe na Hali nzuri za maisha?
Kama unaijua Iramba inside out huwezi kuamini mbunge wa Iramba anatembelea gari la nusu bilioni.
 
Hata Magufuli alikuwa na washauri , leo wanapiga miayo
 
Kabisa, kuficha aibu ya kuumbuliwa na Ma DC wageni.
How does it work?, Mwigulu kiomboi ni mbunge tu,,, barabara sio mbaya kivile, barabara ya singida, ndago inapitika mda wote,,, singida misigiri kiomboi inapitika mda wote,,
Wakulima wanafikisha sokoni mazao kwa wakti, viwanda vidogo vidogo vya kukamua mafuta ya alizeti vipo hadi ndani ndani huko,,,
Siku hizi huko vijijini kuna watu wanae fedha, na wanajenga huko huko hawataki kukaa town,, maana wanegundua ukitaka fedha utaipata shambani🤷‍♂️
 
Nilidhani kuwa wanahamishwa ili kupambania kutatua shida za wananchi na kuleta maendeleo, kumbe ni kuipigania ccm ishinde hata kwa dhuluma! Aisee nyie watu wa ccm ni maiti "chama cha maiti".
 
Nilidhani kuwa wanahamishwa ili kupambania kutatua shida za wananchi na kuleta maendeleo, kumbe ni kuipigania ccm ishinde hata kwa dhuluma! Aisee nyie watu wa ccm ni maiti "chama cha maiti".
Waziri kaona jamaa anakuja kugundua Mengi kumuhusu.
 
Sasa kilichomfanya amfitinishe Nasari hadi kuondolewa huko ni kitu gani?
 
Sijuikwanini watu hawapendi wapiga kura wao wawe na Hali nzuri za maisha?
Kama unaijua Iramba inside out huwezi kuamini mbunge wa Iramba anatembelea gari la nusu bilioni.
Mimi pia nashangaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…