All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
DuhHabari ndiyo hii wadau, Iramba hakuna maji salama, umeme hakuna vijiji vingi, barabara ni balaa, umaskini unatisha, Mbolea ya Ruzuku jimboni kwake ni hovyo haina viwango na mwaku huu Wakulima huko wanahofiwa kuvuna chini ya kiwango, mambo ni Mengi.
Utafanyaje kazi na DC aliyekuwa Mpinzani zamani? Tena ukijitutumua ni mzalendo na mpenda maendeleo!! Sasa kaja sio sebuleni bali chumbani kwako.
Rais Samia amemuondoa Joshua Nasari kutoka Iramba na kumpeleka Monduli Umasaini kimyakimya. DC wa zamani Iramba Selemani Mwenda naye aondolewa Monduli na kurudishwa tena Iramba.
Mkiambiwa Mwigulu ni mmoja wa Washauri wa Rais mtabisha?