Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,409
- 13,262
Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status.
Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment.
Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha zake akiwa amevalia mavazi mbalimbali akijifanya wakati mwingine yuko kwenye shughuli fulani anakwenda kufanya jambo fulani la kikazi.
Mimi naona hii haitamsaidia sana labda analewa comments za watu kumsifia labda kwa uzuri wake na mwonekano wake ndiyo maana kila wakati anahangaika na picha lakini sio sehemu ya kazi.
Ni ushauri tu jamani maana maDC wenzake wapo na wanapiga kazi lakini hawahangaiki na mapozi ya picha za kuweka mitandaoni.
Tatizo ni kuwa wasanii ni watu ambao wako sana kwenye media na yeye katoka huko alishazoea kuandikwa na kupostiwa kila siku.
Sasa amekuwa DC hawezi kufuatwa fuatwa kama zamani kaona bora kazi aifanye yeye mwenyewe maana ameona atakuwa hasikiki bila kujitangaza.