DC wa Kisarawe apunguze show kwenye mitandao ya kijamii afanye kazi

DC wa Kisarawe apunguze show kwenye mitandao ya kijamii afanye kazi

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,409
Reaction score
13,262
Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status.

Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment.

Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha zake akiwa amevalia mavazi mbalimbali akijifanya wakati mwingine yuko kwenye shughuli fulani anakwenda kufanya jambo fulani la kikazi.

Mimi naona hii haitamsaidia sana labda analewa comments za watu kumsifia labda kwa uzuri wake na mwonekano wake ndiyo maana kila wakati anahangaika na picha lakini sio sehemu ya kazi.

Ni ushauri tu jamani maana maDC wenzake wapo na wanapiga kazi lakini hawahangaiki na mapozi ya picha za kuweka mitandaoni.

Tatizo ni kuwa wasanii ni watu ambao wako sana kwenye media na yeye katoka huko alishazoea kuandikwa na kupostiwa kila siku.

Sasa amekuwa DC hawezi kufuatwa fuatwa kama zamani kaona bora kazi aifanye yeye mwenyewe maana ameona atakuwa hasikiki bila kujitangaza.

1575115093505.png
 
Kamwambie Trump kwanza atoke kwenye twitter. by the way wakina bashite mbona wanashinda tu mitandaoni kuangalia walichopost wakina idris ili wawaite kituoni.

social media ni privacy za mtu wewe unaumia nini? mteule wake kasema kazi zake haziendi kwa sababu ya kuposit picha kwake?
 
Huyo ni celebrity tangu hajawa mkuu wa wilaya. Ameishi maisha ya social media miaka kibao. Kumwambia aachane nayo ni kumwambia aishi kinafiki. Isitoshe kwa kiasi kikubwa kampeni yake ya Tokomeza zero Kisarawe imesaidiwa sana na social media. Mtoa mada jipange
 
Huyu hana tofauti na Richard kasesela
alikuwa akila mahindi ya kuchoma picha, mafuriko picha, anapanda daladala picha, mbaya zaidi na kuvunja mbavu ni ile alipiga picha akiwa ananyeshewa na mvua halafu kalowa mbaya dadadeeeki tangu lini ?
 
Hivi ile kampeni imeperform vipi dear?
 
Aendelee kupost, Mimi binafsi napenda anavyopost maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kisarawe na anavyoshirikiana na wakazi wa Wilaya hiyo.
Kupitia Post zake Kuna Mambo mengi najifunza na pia naitalii Kisarawe mtandaoni.
Hii ni namna mpya ya kufanya kazi huenda haijazoeleka kwa wengine.
 
Huyu hana tofauti na Richard kasesela
alikuwa akila mahindi ya kuchoma picha, mafuriko picha, anapanda daladala picha, mbaya zaidi na kuvunja mbavu ni ile alipiga picha akiwa ananyeshewa na mvua halafu kalowa mbaya dadadeeeki tangu lini ?
Uzuri wa huyo jamaa,licha ya kuwa anafanya hayo yote,ila pia ukimsikiliza utaona ni mtu anayejielewa
 
Kamwambie Trump kwanza atoke kwenye twitter. by the way wakina bashite mbona wanashinda tu mitandaoni kuangalia walichopost wakina idris ili wawaite kituoni.

social media ni privacy za mtu wewe unaumia nini? mteule wake kasema kazi zake haziendi kwa sababu ya kuposit picha kwake?

Mkuu kuna watu hawataki kwenda na wakati wa utandawazi wa dunia ya leo na wanapenda wabaki na mambo ya 47, hawa ndio wale mpaka leo wamegoma kutumia email kama njia ya mawasiliano ya kiofisi wao bado wanaandika barua kwa mkono halafu anaomba ruhusa ya week nzimaaa kazini ili apeleke barua yake kwa katibu mkuu Dodoma
 
Kwamba eti mbwa aache kubweka? Uliona wapi? Mwambie na yule mwingine aache kutukana hovyo hovyo bila kujali utu wa watu.
 
Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status.

Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbali mbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment.

Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha zake akiwa amevalia mavazi mbali mbali akijifanya wakati mwingine yuko kwenye shughuli fulani anakwenda kufanya jambo fulani la kikazi.

Mimi naona hii haitamsaidia sana labda analewa comments za watu kumsifia labda kwa uziuri wake na mwonekano wake ndiyo maana kila wakati anahangaika na picha lakini siyo sehemu ya kazi.

Ni ushauri tu jamani maana maDC wenzake wapo na wanapiga kazi lakini hawahangaiki na mapozi ya picha za kuweka mitandaoni.

Tatizo ni kuwa wasanii ni watu ambao wako sana kwenye media na yeye katoka huko alishazoea kuandikwa na kupostiwa kila siku.

Sasa amekuwa DC hawezi kufuatwa fuatwa kama zamani kaoni bora kazi aifanye yeye mwenyewe maana ameona atakkuwa hasikiki bila kujitangaza

View attachment 1277201
i nasemekana yule mchezaji wa basket wa NBA alitaka kuchukua jiko dini ikazingua sijui nnani anakula huyu mtoto.
 
Huyu hana tofauti na Richard kasesela
alikuwa akila mahindi ya kuchoma picha, mafuriko picha, anapanda daladala picha, mbaya zaidi na kuvunja mbavu ni ile alipiga picha akiwa ananyeshewa na mvua halafu kalowa mbaya dadadeeeki tangu lini ?

Yaan siwez sahau asiee hahhhaha kuna ile amebeba watu anawavusha
 
Aendelee kupost, Mimi binafsi napenda anavyopost maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kisarawe na anavyoshirikiana na wakazi wa Wilaya hiyo.
Kupitia Post zake Kuna Mambo mengi najifunza na pia naitalii Kisarawe mtandaoni.
Hii ni namna mpya ya kufanya kazi huenda haijazoeleka kwa wengine.

Huyu ni mmoja wa wakuu wa wilaya bora kabisa na wala si mjivuni kihindi kideke chetu tunakipenda, Alafu ni msomi wa kweli ngoja amalize Masters yake ya pale Open UNiversity tumpe MKOA kabisa.
 
Huyu hana tofauti na Richard kasesela
alikuwa akila mahindi ya kuchoma picha, mafuriko picha, anapanda daladala picha, mbaya zaidi na kuvunja mbavu ni ile alipiga picha akiwa ananyeshewa na mvua halafu kalowa mbaya dadadeeeki tangu lini ?
Akasaidia kuua mchezo wa mpira wa kikapu nchini. Akiwa mwenyekiti kumbe shida yake daraja la kutafutia ubunge.
 
Inaonekana wewe ni shabiki yake mkubwa kutwa unatembelea ukurasa wake huko insta, huyo hajaanza kupost leo kitambo tu anapost huyo ni celebrety mkubwa mwacheni aishi alivozoea, mambo ya kumbanabana wakati anatimiza majukumu yake sio poa kabisa
 
Back
Top Bottom