DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Jaji aliuliza mnataka rais mwinyi aje mahakamani?

Wakili Mallya: Huko mbelene ikihitajika itakuwa hivyo

mdukuzi suburi : utaelewa taratibu maana nyie mlipeleka simu mahakamani bila sim card [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nikumbushe Ile simu ya Urio inayokaa na chaji kwa zaidi ya mwaka ni aina gani nikainunue?
 
Salute!!!!
 
Aibu kubwa sn anajua hakuna ushahdi wa maana zaidi ya maigizo
 
Wawafunge kwa ushahidi upi hapo?
 
Kama kesi ikiendelea DCI Boaz ataletwa kupitia wakili wa utetezi..
Pia Sirro ataletwa.. Sabaya pamoja na Mwanasheria wa Serikali kujibu aliyosema Rais Samia BBC
inatosha tumeona hakuna ushahidi wa maana watu watoke wafanye shughuli zao
 
Hii kesi ni bora tu Jamhuri wakakubali matokeo. Kiukweli wameshindwa vibaya! Maana kila anayekuja kutoa ushahidi, anaondoka akiwa hoi bin taaban!

Na yote hii ni kwa sababu ya ukosefu wa uhalisia wa mashtaka yenyewe!
Ni kutesa watu, hongera sn kwa Kibatala na jopo lake
 
Nadhani hii kesi ina lengo la kuchelewesha harakati za kudai Katiba Mpya! Na kwa hili Serikali imefanikiwa maana tangu Mbowe atiwe mahabusu kwa kesi ya Ugaidi fake nani anayeongoza harakati za kudai Katiba Mpya kwa sasa?
Kama serikali imeona baada ya Mbowe kufunguliwa mashitaka ya Ugaidi fake hakuna choko choko za kudai Katiba mpya huenda ikam detain muda mrefu kwa visingizio mbali mbali!
Lakini nadhani Mabeberu wakizidi kumbana Hangaya huenda akirudi atanyoosha mikono.
 
Cc WIGWA comte johnthebaptist YEHODAYA Magonjwa Mtambuka Crimea
 
Ukweli ni kwamba baada ya Mbowe juzi kwenda pekee yake ofisi ya jaji pamoja na mawakili wa pande zote ndio hii kesi ilipoenda kumalizwa!!!
Una maana gani? Kwamba Mbowe alienda kuomba msamaha?
 
Umenena vyema. Hii kes iliibuliwa kumdhibit mbowe dhid ya vuguvugu la katiba mpya. Kweli wameshafanikiwa mno! Sisi tunahangaika na ugaid kumbe si mission yao. Namna ya kurud kwenye harakat ni lisu na lema warud, mbowe kama mfadhir arud uraian. Lakin muda si rafik tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…