Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
asipokwambia ww amwambie nani?
Wewe nambie mimi mwenyekiti ntakurekebishia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asipokwambia ww amwambie nani?
Wewe nambie mimi mwenyekiti ntakurekebishia
looo nimecheka mpaka machozi, mwehh, hizo burungutu ndio shs ngapi, usikute elfu 50-100 unaita burungutu.
mpenzi wako ana hasara mbona..
aisee! mbona wewe mchoyo hivo jamani?
Nyamayo usiseme hivyo aisee, hiyo 50/100 inaweza kuwa burungutu, imagine salary slip inasoma Tshs 467,853.22 halafu bado anatoa 50 x 3 kwa mwezi utaacha kuita burungutu?
Wanaume tunakaza roho we acha tu.......
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,
poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,
Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
Kama hii ndiyo adhabu ya kutongoza, nimekoma sitongozi tena. Kama nina hamu ya kugegeda, bora niwahi Ohio usiku tukimalizana nalipia huduma na hakuna mizinga tena.Mtu hujamwita wala hujamlazimisha akutongoze, bali manyege yake ndiyo yamemtuma. Sasa iweje akitakiwa awajibike analalama mpaka JF? Koma kutongoza tongoza kama utapigwa mizinga.
mizinga mizinga jamani mizinga
Na wewe siku moja m-text umwambie Dia, nina hamu sana ya TiGo, sasa utanisaidiaje?[/QUOTE anaweza kutoa tigo ila ukimaliza ataomba 80x2 =160000/= hapo sasa]
Girls ur so selfish,chako changu,changu changu...thats how you want