"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

looo nimecheka mpaka machozi, mwehh, hizo burungutu ndio shs ngapi, usikute elfu 50-100 unaita burungutu.

Nyamayo usiseme hivyo aisee, hiyo 50/100 inaweza kuwa burungutu, imagine salary slip inasoma Tshs 467,853.22 halafu bado anatoa 50 x 3 kwa mwezi utaacha kuita burungutu?

Wanaume tunakaza roho we acha tu.......
 
Nyamayo usiseme hivyo aisee, hiyo 50/100 inaweza kuwa burungutu, imagine salary slip inasoma Tshs 467,853.22 halafu bado anatoa 50 x 3 kwa mwezi utaacha kuita burungutu?

Wanaume tunakaza roho we acha tu.......

hahaha haki ya nani leo mnanivunja mbavu, looo nimecheka nimelia, umeongea kwa huruma kweli mdogo wangu, ombeni mtumiwe wife kutoka vijijini huko mtulize mzuka wa warembo wa mujini, laa sivyo mkubaliane na hali ya kuzichomoa tu.
 
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "

Elfu 80 tu unakuja kuanzisha thread JF...are you serious!? Kabla hilo 'jitu' halijaja kukuomba, ni lazima ulianza kuliomba wewe...sa iweje we 'uombe' nawe 'ukiombwa' unakimbilia thread JF!? Grow up...
 
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post

ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo. kuombana kupo lkn isiwe too much na iwe leo kwako kesho kwangu bila shaka ndio kauli mbiu ya beijing.
 
Mtu hujamwita wala hujamlazimisha akutongoze, bali manyege yake ndiyo yamemtuma. Sasa iweje akitakiwa awajibike analalama mpaka JF? Koma kutongoza tongoza kama utapigwa mizinga.
Kama hii ndiyo adhabu ya kutongoza, nimekoma sitongozi tena. Kama nina hamu ya kugegeda, bora niwahi Ohio usiku tukimalizana nalipia huduma na hakuna mizinga tena.
 
notifekiNdio maana watu wengi hawapendi hii mambo, badala yake wanaenda kununua zinapouzwa!
 
Last edited by a moderator:
419210_10151283670762019_589634818_n.jpg
 
Hakuna uniformity kwa wapenzi.....
kuna wanaopenda pafyumu
kuna wanaopenda sura,weupe, weusi na body za kiume( sijui sura na weupe unaliwa)
kuna wanaopenda wapiga pamba
kuna wanaopenda swaga za kisharo
kuna mamiss independent kuhongwa kwao sio ishu, tena ukikwama anakupiga tafu(mi hapana kwakweli)
kuna wapenda pesa.....n.k n.k
tatizo mnapenda kukomaa na zisizotype zenu mwisho mnaona wanawake wote wapenda pesa kumbe unaeza piga hata pamba za kuazima na ukapata mademu.
JITAHIDI KUTAFUTA TYPE YAKO UFURAHIE MAPENZI......
 
Back
Top Bottom