Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Ni suala la muda tu ataanzisha mada anataka kupigana mieleka na Mama Samia huku akijificha nyuma ya ID feki.
 
Hahaaa.

Kwa mtaji huu hawezi kukupa nafasi.

Maana umekuwa ni kama mtu kaficha silaha ya hatari nyuma ya mgongo anataka kupigana nawe, hujui ana silaha gani.
🤣🤣🤣 Wewe Kiranga!
 
Acha ubaege
Nyani Ngabu ameelezea masuala.yote anaweza kudahalo na huyo bingwa wenu.

Wewe umeokota hip hop tu dah
 
Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
Ukweli ni kwamba Makonda hana uwezo wa kufanya debate na Tundu Lissu.

Hana uwezo wa kufanya debate na John Mnyika.

Hana uwezo wa kufanya debate na Freeman Mbowe.

Enter mbeba maboksi Nyani Ngabu. Hata mimi naweza kufanya mdahalo na Paul Makonda na kumgaragaza kabisa.

Vigezo na masharti yote ya mdahalo achague yeye.
 
🆒
 
 
Acha ujinga, mleta mada hajingumzia hip hop kama nyumbu mlivyomuelewa. Yeye amesema anataka debate ya mada yoyote atakayochagua makonda hata yaani hata bashite akitaka mada ya hip hop yeye yupo tayari.
 
Paul Makonda Uwezo Mdogo Sana.

Hili Taifa linavituko,Chama tawala huyu ndio "Hazina "Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…