Nimemuambia katuwekea jina la mchongo hapa.Sawa Mkuu, ila Nyani Ngabu hajaweka masharti yoyote ikiwemo hilo la identity. Fanya mpango confirmation ipatikane. We all need fareness Mkuu!
Hahaa,Nyani Ngabu ni Nyani Ngabu.
Na ndo maana pembeni ya jina langu kuna hiyo blue check mark.
That blue check mark means I’m verified.
In order to be verified, you need to satisfy some requirements.
And I satisfied those requirements.
Yote majina yangu hayo.Hahaa,
Ushasahau ulitupa jina tofauti jana my dude!
Makonda ushampata lakini?Yote majina yangu hayo.
Ni kawaida kwa watu kuwa na majina tofauti kulingana na mazingira.
Kuna majina ambayo mtu anatumia akiwa shuleni. Akirudi nyumbani anaitwa majina mengine tofauti.
Akiwa na washikaji pia ana majina mengine.
Lakini yote ni majina yake.
Kwani wewe nyumbani huna jina la Kisukuma na Kizaramo?
Mimi nikiwa nyumbani naitwa BICHWA KOMWE.Yote majina yangu hayo.
Ni kawaida kwa watu kuwa na majina tofauti kulingana na mazingira.
Kuna majina ambayo mtu anatumia akiwa shuleni. Akirudi nyumbani anaitwa majina mengine tofauti.
Akiwa na washikaji pia ana majina mengine.
Lakini yote ni majina yake.
Kwani wewe nyumbani huna jina la Kisukuma na Kizaramo?
Kisingizio chake hana muda. Anazunguka nchini kujenga nchi.Makonda ushampata lakini?
Au unafurahisha baraza JF? 🤣🤣🤣
So, you want to prove Makonda can't F with you.Kisingizio chake hana muda. Anazunguka nchini kujenga nchi.
But I’m dead serious.
Makonda can’t F with me.
He was bluffing when called out CHADEMA to debate him.
I don’t want to prove anything.So, you want to prove Makonda can't F with you.
Then what?
Then what?I don’t want to prove anything.
Yeye alisema anataka mdahalo na CHADEMA.
Nami nasema nataka mdahalo na yeye.
Kwa sababu zilezile za yeye kutaka mdahalo na CHADEMA.
Mkuu it may seem so, usisahau anonymous life will continue after the mdahalo in JF or live.Sasa Makonda ata confirm kushiriki mdahalo na mtu asiyejulikana?
Huoni mpambano wa ndondi unaanza Makonda kafungwa mikono nyuma tayari?
Hajanipa nafasi bado.Then what?
Amekupa nafasi. Umetuonesha umahiri wako.
Then what?
Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!Nimemuambia katuwekea jina la mchongo hapa.
Tunahitaji uhakiki kumjua Nyani Ngabu ni nani.
Pamoja na picha, kujua majina yake kamili, yaliyohakikiwa na huduma inayoeleweka na kukubalika, wakiwamo Polisi Makao Makuu, NIDA, Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Mjumbe wa nyumba kumi na majirani watano alioishi nao kwa kipindi kisichopungua miaka mitano kila mmoja.
Anayepaswa kujua vyote hivyo ni Bashite. Siyo Kiranga.Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
Hahaaa.Hajanipa nafasi bado.
Akinipa ndo utajua then what.
Welcome to Jersey.
All in all, mimi naona mnachangamsha baraza tu.Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
Nimesema debate kuhusu topic yoyote ile.Hahaaa.
Kwa mtaji huu hawezi kukupa nafasi.
Maana umekuwa ni kama mtu kaficha silaha ya hatari nyuma ya mgongo anataka kupigana nawe, hujui ana silaha gani.