Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Sawa Mkuu, ila Nyani Ngabu hajaweka masharti yoyote ikiwemo hilo la identity. Fanya mpango confirmation ipatikane. We all need fareness Mkuu!
Nimemuambia katuwekea jina la mchongo hapa.

Tunahitaji uhakiki kumjua Nyani Ngabu ni nani.

Pamoja na picha, kujua majina yake kamili, yaliyohakikiwa na huduma inayoeleweka na kukubalika, wakiwamo Polisi Makao Makuu, NIDA, Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Mjumbe wa nyumba kumi na majirani watano alioishi nao kwa kipindi kisichopungua miaka mitano kila mmoja.
 
Nyani Ngabu ni Nyani Ngabu.

Na ndo maana pembeni ya jina langu kuna hiyo blue check mark.

That blue check mark means I’m verified.

In order to be verified, you need to satisfy some requirements.

And I satisfied those requirements.
Hahaa,

Ushasahau ulitupa jina tofauti jana my dude!
 
Hahaa,

Ushasahau ulitupa jina tofauti jana my dude!
Yote majina yangu hayo.

Ni kawaida kwa watu kuwa na majina tofauti kulingana na mazingira.

Kuna majina ambayo mtu anatumia akiwa shuleni. Akirudi nyumbani anaitwa majina mengine tofauti.

Akiwa na washikaji pia ana majina mengine.

Lakini yote ni majina yake.

Kwani wewe nyumbani huna jina la Kisukuma na Kizaramo?
 
Makonda ushampata lakini?

Au unafurahisha baraza JF? 🤣🤣🤣
 
Mimi nikiwa nyumbani naitwa BICHWA KOMWE.
 
Makonda ushampata lakini?

Au unafurahisha baraza JF? 🤣🤣🤣
Kisingizio chake hana muda. Anazunguka nchini kujenga nchi.

But I’m dead serious.

Makonda can’t F with me.

He was bluffing when called out CHADEMA to debate him.
 
Kisingizio chake hana muda. Anazunguka nchini kujenga nchi.

But I’m dead serious.

Makonda can’t F with me.

He was bluffing when called out CHADEMA to debate him.
So, you want to prove Makonda can't F with you.

Then what?
 
Bashite won't agree to debate because he knows he lacks intelligence and relies on propaganda and political tricks much like his political party CCM.

However, leadership in Tz isn't just about being smart, it's about taking risks and not worrying too much about what others think. And if you gain support from the system, now you are good.
 
I don’t want to prove anything.

Yeye alisema anataka mdahalo na CHADEMA.

Nami nasema nataka mdahalo na yeye.

Kwa sababu zilezile za yeye kutaka mdahalo na CHADEMA.
Then what?

Amekupa nafasi. Umetuonesha umahiri wako.

Then what?
 
Sasa Makonda ata confirm kushiriki mdahalo na mtu asiyejulikana?

Huoni mpambano wa ndondi unaanza Makonda kafungwa mikono nyuma tayari?
Mkuu it may seem so, usisahau anonymous life will continue after the mdahalo in JF or live.

The sweetness of JF is the assurance of anonymity! Haki hiyo ya Nyani Ngabu itakuwa compromised Mkuu before game halijaanza!

Kwa kuwa Nyani Ngabu ametanganza bila masharti yeyote, Makonda a confirm kudebate kama ni livr, then automatically Nyani Ngabu atajulikana!
 
Nimemuambia katuwekea jina la mchongo hapa.

Tunahitaji uhakiki kumjua Nyani Ngabu ni nani.

Pamoja na picha, kujua majina yake kamili, yaliyohakikiwa na huduma inayoeleweka na kukubalika, wakiwamo Polisi Makao Makuu, NIDA, Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Mjumbe wa nyumba kumi na majirani watano alioishi nao kwa kipindi kisichopungua miaka mitano kila mmoja.
Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
 
Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
Anayepaswa kujua vyote hivyo ni Bashite. Siyo Kiranga.

Unless Kiranga ni agent wa Bashite.
 
Hajanipa nafasi bado.

Akinipa ndo utajua then what.
Hahaaa.

Kwa mtaji huu hawezi kukupa nafasi.

Maana umekuwa ni kama mtu kaficha silaha ya hatari nyuma ya mgongo anataka kupigana nawe, hujui ana silaha gani.
 
Mkuu be fair katika kufahamu makonda alifanya hayo??? Tofautsha hili jambo; Nyani Ngabu hajataka mdahalo na Katibu mwenezi, kataka Mdahalo na Makonda!
All in all, mimi naona mnachangamsha baraza tu.

Makonda mwenyewe mmemtafuta au hajui hata kama mpo dunia hii?
 
Huyu mleta mada angeita vyombo vya habari hata vile vya udaku vya youtube, tiktok, insta kueleza nia yake ya kutaka mdahalo na Makonda tumwone na tumjue badala ya kung’ang’ania humu JF eti yupo «verified». Amfuate basi kwa PM huyo aliyefanya hiyo verification amwambie nia yake ya kutaka mdahalo na Makonda. Siku za nyuma kidogo alianzisha mada eti anataka azichape live na Chalamila wakati hapohapo yeye hajulikani ni nani?
 
Hahaaa.

Kwa mtaji huu hawezi kukupa nafasi.

Maana umekuwa ni kama mtu kaficha silaha ya hatari nyuma ya mgongo anataka kupigana nawe, hujui ana silaha gani.
Nimesema debate kuhusu topic yoyote ile.

Achague yeye.

Baada ya debate umma utapata ufunuo zaidi jinsi ambavyo CCM ni mbovu na inaongozwa na viongozi wabovu kama Bashite.
 
Back
Top Bottom