TANZIA DED wa Korogwe, Kwame Daftari afariki dunia

Kumbe mnajuwa ya kuwa hakuna atakaebaki kuilinda dunia mpaka mwisho ila nyie mnafanya mambo utafikili mtaishi milele...Mkotayali watu wafe ili mludi madalakani....wacha tupongeze to kwa vfo...mkae mkijuwa hakuna takaeishi milele...
 
hao wanaofanya haya wote,hawana akili sawasawa,na hawajui wasemalo wala waandikalo,nakumbuka mleta uzi aliwahi kufurahia ule uvumi wa kifo cha maghufuli 2019,nikajua hana akili;
binadamu kamilifu,huwezi kufurahia kifo cha adui yako,najua huyo mama ni mkristo,aangalie Daudi alifanya nini aliposikia mfalme sauli amekufa?,
yaani nasikitika sana utu umeondoka ndani yetu hasa wapenzi chadema,kwani mtu kufa itakupa wewe faida gani?,unapata nini na points ngapi chanya kwenye maisha yako kwa kifo cha mwingine?,iwe ni corona isiwe corona mbona mmekuwa wabaya kuliko baba wa mabaya mwenyewe?,
 
Hakika.
Tumuombee Baba kwa kweli aishi na amalize muda wake kwa amani.

Nawaza kama siku likitokea LA kutokea,kama huyo ni Ded tu inakuwa hivyo, je siku Baba mwenye house akatanguliza mmbele itabidi internet izimwe kwa muda mrefu.
 
Hakika.
Tumuombee Baba kwa kweli aishi na amalize muda wake kwa amani.

Nawaza kama siku likitokea LA kutokea,kama huyo ni Ded tu inakuwa hivyo, je siku Baba mwenye house akatanguliza mmbele itabidi internet izimwe kwa muda mrefu.
Na haiwez kutokea.
 
Mbona corona hii inaua vifaranga tu kwanini isimpige jogoo akadondoka?
 
daa watu mmejaa chuki,mpaka zimewadi uzito!!! huu ni msiba eti.
Msiba wa mtu mmoja wakati yeye alisababisha msiba wa Taifa zima?Unaelewa ni watu wangapi wanakufa kwa Corona kwa sababu ya Magufuli kuwa ikulu kwa kupitia kura fake?
 
Kudhulumu haki za wengine ni chukizo kwa Mola wetu.
Tukumbuk kuna kiama na dhambi ya kudhulumu huwezi kuingama tena.
Mbele ya haki utakwenda kuitumikia hii dhambi jehenam milele na milele.
 
Tenda haki duniani upate ufalme wa Mungu vinginevyo jehanamu ni haki yako
 
Mleta uzi hujatuambia yule aliyewekwa kimada uberigiji anaendereaje na tatizo lake la upumuaji.
Mzee wa faru john nae hujatuambia mbn harudi kutoka huko alikoifuata chanjo ya covid.
Ukienderea tutaweka wz kila k2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…