Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

Crystal field theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2014
Posts
940
Reaction score
401
Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa.

Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16 lakini hata kusimamia hasimami, na daktari wa viungo anasema hatuwezi kumfanyisha mazoezi mpaka hii degedege ifike kikomo.

Naombe msaada wakuu, 😭😭😭
 
Naombe msaada wakuu, [emoji24][emoji24][emoji24]
Kama madaktari wameshindwa Mkuu tafuta dawa za asili, Pole sana mkuu.
 
Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa.

Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16 lakini hata kusimamia hasimami, na daktari wa viungo anasema hatuwezi kumfanyisha mazoezi mpaka hii degedege ifike kikomo.

Naombe msaada wakuu, 😭😭😭
Pole Sana mkuu.. Ulizia watu wa IRINGA, wakusaidie dawa aina ya LWENYI.
 
Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa.

Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16 lakini hata kusimamia hasimami, na daktari wa viungo anasema hatuwezi kumfanyisha mazoezi mpaka hii degedege ifike kikomo.

Naombe msaada wakuu, [emoji24][emoji24][emoji24]
Menya kitunguu swaumu twanga, changanya na asali mbichi, minyia na limao. Awe antumia kijiko Cha chai kikiwa kimejaa kila wakati.

Alafu maganda ya kitunguu swaumu yachome na ule Moshi ajifukize.

Hapo mambo yatakuwa sawa.

Nitakuja na nyingine ngoja nikumbuke
 
Back
Top Bottom