Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

Pole sana mkuu tumia
Vitunguu saum na majani ya mbaazi vitwange pamoja uloweke kwenye maji kidogo alafu uwe unamnywesha vijiko 4 vya hayo maji kwa siku 4 mfululizo
Na kwa hatua ilipofikia inabid uwe unampakaa kitunguu saum mwili mzima kila unapomaliza kumwogesha fanya hivyo ndani ya wiki 3..4
 
Shida ni degedege, anakuwa vizuri.. uzito unaongezeka.. muonekano mzuri, dawa anatumia kwa sasa sodium valproate na hio EEG sijui ni kipimo gani??
Pole kwa changamoto. Nashauri mpeleke Mloganzila au tafuta hosp yoyote ambapo kua Neurologist atapata huduma sahihi.

I believe atapata tiba sahihi
 
Yes ya dsm,nina mtoto wa mdogo wangu naye alichelewa kullia kama wako tumlimpeleka hapo tukapewa utaratibu wa tiba na mazoezi kwa mtoto, pia kuna private hospital watoa hzo huduma kama mfuko uko vzur
Hivi ccbrt ni serikali? Maana huyu anayobima ya afya ya mtumishi.
 
Mtoto kuchelewa kulia ni tatizo,tulivyoambiwa hospital kuwa tatizo linakuwa kwenye ubongo hata ukuaji wa mtoto unakuwa tafauti na watoto wengine ila muhinu ni
Yes ya dsm,nina mtoto wa mdogo wangu naye alichelewa kullia kama wako tumlimpeleka hapo tukapewa utaratibu wa tiba na mazoezi kwa mtoto, pia kuna private hospital watoa hzo huduma kama mfuko uko vzur
Alikuwa anapata degedege? Na je mlifanya kipimo gani sambamba nadawa zipi alitumia?
Maana daktari amenambia hutuezi kumfanyia mazoezi wakati bado degedege inaendelea
 
Kwahio nikimpeleka ccbrt kwa case ya bima hatahudumiwa vizuri?
Atahudumiwa, ila inatakiwa kuwahi foleni udamke au ufike ccbrt SAA 8 usiku kupanga foleni ya kesho asubuhi.

Huu ndio ujinga wa ccbrt kama unatumia bima, lakini wa cash wanakwenda kwa muda wake na reception wanatumia nyingine VIP.
 
Huu ni mtihani kwakweli.. ngoja nitajaribu unafuu upo wapi.. nitaanza na regency pale DIT
 
UNAPATIKANA WAPI NIKUTUMIE DAWA BUREEEEE, HIYO KITU ISIKIE TU KWA JIRANII
 
Back
Top Bottom