Dededege inamtesa sana mwanangu, wakuu nisaidieni dawa

Kama ni chini ya miaka 5 ni bure hata bima haitajiki ila tatizo ni folen.
Hakuwa na degedege ila alikuja kupata degedege akiwa na miaka 7 ndio hali ilianza ya kuanguka kwa sasa yuko mkoa mwingine na ana clinic kila mwez anahudhuria na dawa anatumia kila siku
 
Maana daktari amenambia hutuezi kumfanyia mazoezi wakati bado degedege inaendelea
Mungu akusaidie apote tu huu ugonjwa ni changamoto imagine huyo mtoto ana miaka 10 now ila ndio anaingia la kwanza na hapo ameenda private,ni nchangamoto kwa kweli.
 
Mungu akusaidie apote tu huu ugonjwa ni changamoto imagine huyo mtoto ana miaka 10 now ila ndio anaingia la kwanza na hapo ameenda private,ni nchangamoto kwa kweli.
Amiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…