Degree holder nimerudi kusoma VETA, hivi vyeti ni kupiga mikasi

Ikiwa uko nako umeenda kusoma ili upate ajira jiandae kisaikolojia. Zama zimebadilika siyo kila homa ni malaria
 
sasa mshahara laki nne jamani si majanga haya
Kudharau mshahara wa laki 4 ndio mwanzo wa kufeli. Ukitaka kuanzia juu utaishia kupaona juu hivyo hivyo. Mambo si rahisi rahisi kama unavyofikiria. Rais wa sasa angedharau mishahara kama wewe aidhani kama angekuwa alipo, nadhani historia yake unaijua. Kama hujauatilia uliza wakuhadithie.
 
Ni kweli Chief...ila nina imani wakati wa Bwana ukifika,umefika isee..

Haijalishi mtu kasomea nini wala nini,kuna wanaomaliza ndani ya miezi mitatu tuu yumo[emoji2]

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ni kwel ila hili asiliweke sana kichwani akabweteka ...aendelee kukomaa mpaka kieleweke
 
Ma lectures wa bongo wezi tu,huyu ana GPA kubwa creativity zero,halafu utakuta walio disco au Ku post pone ndo wenye mishe town
Hao unatamani wakuajiri wao wameajiriwa na nani?
 
Tatizo unajifanya mjuaji, Nimeleta humu tangazo la kutaka ajira?
Hivi unasoma ulichokiandika?
We unalalama ajira hakuna wakati una GPA na uwezo wa kutosha,umehangaika kwenye interviews bila mafanikio ukitafuta ajira,sasa baada ya kuona mambo magumu umeamua kwenda veta ukasome upate cheti ili utafute tena ajira za umeme wa magari,huna lengo LA kujiajiri ndio maana unataka cheti,ungetaka kujiajiri kuna garage kibao kitaa za kujifunza kwakua una theoretical foundation ya kutosha isingechukua mda

Unadhani huko veta wanakuwekea ubongo mwengine?
 
Inaonekana uelewa wako hata darasani ulikuwa mdogo maana huelewei wapi nimeleta tangazo la kuhitaji Ajira??
 
Inaonekana uelewa wako hata darasani ulikuwa mdogo maana huelewei wapi nimeleta tangazo la kuhitaji Ajira??
GPA kubwa akili zero,kilichokufanya uandike huu uzi ni nini?
Tujue na wewe ulipata GPA kubwa?
Umelalamika ajira hakuna,unachokataa sasa ivi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…