Msiba wa Taifa
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 128
- 53
- Thread starter
-
- #101
Kwalipi?Vijana mnachekesha sana,
MEDICINE ndo COURSE .Si bure umerogwa wewe! Hivi upo chuo na mpaka leo hujajua fani zinazotengeneza hela???
Kwanza kuwa na degree ya Pharmacy ukumbuke kuwa si ndiyo sababu ya kupata hela kama unavyodhani....
Medicine vs pharmacy which most better than othersKwalipi?
MEDICINE ndo COURSE .
B PHARMACY NDO BABA LAO.
ZNGINE NI KUJIDANGANYA TUU.
Medicine vs pharmacy which most better than others
PHARMACY UNALALA TUU UNAINGIZAA MIPUNGAA.Medicine vs pharmacy which most better than others
Mwambie fathr ako asomee na certificate ya pharmacy atapiga pesa mara 2 ya hyoo.Zote Hazina issue Ni Za Kuganga Njaa tu! Kupiga Hela inategemea na Ulipoajiriwa na Ujanja Wako na sio aina Ya Fani unayosomea...
Father Wangu Ni Education Tu Kaajiriwa Kwenye Kwenye Kampuni Ya Aghakan Foundation Hapo Zenji Na Anachukua $1500 per Mounth...
Mwambie fathr ako asomee na certificate ya pharmacy atapiga pesa mara 2 ya hyoo.
Na akipiga dploma yake ni balaaaa atakua kama diamond.
Level za degree sio boss...VIP kwa level za diploma kwa hizo kozi tatu level katika mshikoDegree pharmacy, medical lab,Nursing wote ni TGS C 980000tsh ,medical doctor TGS D 1480000 TGS
Upande wa diploma holder wote ni 680000tsh basic salary...Level za degree sio boss...VIP kwa level za diploma kwa hizo kozi tatu level katika mshiko
Kasome pharmacy.Ivi clinical medical vs medical laboratory ipi ni nzuri sana kwa ngazi ya diploma
Ivi clinical medical vs medical laboratory ipi ni nzuri sana kwa ngazi ya diploma
duuh ..ndo maana unanibisha sana kwenye uzi wanguPharmacy ndo mpango mzima
duuh ..ndo maana unanibisha sana kwenye uzi wangu
kumbe huu Uzi ni wako ....pharmacy haina ajira Mdogo wangu ....hizo ni ndoto tu
Asantee kakaa ndo maana nasema jamaa darasa la sabaa ajui aliongealo.
Asantee kakaa ndo maana nasema jamaa darasa la sabaa ajui aliongealo.
Hapo bado mshahara wa serikali 1.25 millions.
pia hospitalini pia za private hawawez fungua hospital bila chet cha mfamasia.
Umeongea vyema, anatakiwa asome kwanza mishahara nibadae sana baada ya kuruka viunzi lukukiBado uko mbali sana kufanya haya mabishano.. First semester ya kwanza chochote kinaweza tokea.. Wafamasia huwa hatuna majigambo kama yako ,huwa tunakula kimya kimya,hatuheshimiki sana kama madaktari ila pesa tunazipata..Soma shule uwe competent things are rapidly changing