Afadhali nimepata feeling siku nikifa watu watareact vipi😀
Na ndio lengo la mleta mada kupasua mioyo yetu shenzy zake kabisa🥲
Amen🙏🙏Uishi miaka mingi
Nini umeelewa na wewe?Uko vizuri nimeelewa 🤣
Mwambie arelax nothing is serious hereAkiona tu bhaaas salam zimefika.
Nkajua umeenda kuongeza shape bila kunchukua na mimiNini umeelewa na wewe?
Tutakuletea Winston kaburiniHivi siku nikifa mtasikitika?
Aelewe pia,ukifa nami nimekufa.Mwambie arelax nothing is serious here
Mkuu Demi pole sana.Hivi siku nikifa mtasikitika?
Kwakweli binafsi niahuzunika ingawa sukujui wala hunijuiSiku nikifa utalia?
Kaamua kuchangamsha genge😀Mkuu Demi pole sana.
Huyu jamaa amenishtua sana.
Duuu[emoji849][emoji849][emoji849][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Shape yako imejitosheleza.. Ya kwangu bado😀Nkajua umeenda kuongeza shape bila kunchukua na mimi
Uzuri kuzurika...
Huyo si wewe,ni lipopo limoja tu toka Naija hata huko uingereza kazamia tu,hakuna mzungu anaongeza matako Turkey.Kama naona comments zenu za kuninanga zitakavyokuwa nyingi
Uzuri kuzurika...