hilo tangazo tu nikajua ni wewe na nimesikitika,ikiwa kweli si nitaomboleza mwezi mzima wakati hata taswira yako siijui!!.. fanyafanya huko pm yangu ijae uzuri wako angalau nipate baraka mujarab..😂Hivi siku nikifa mtasikitika?
Pm sio mahali salama...trust me, pana stress za kutosha huko😀hilo tangazo tu nikajua ni wewe na nimesikitika,ikiwa kweli si nitaomboleza mwezi mzima wakati hata taswira yako siijui!!.. fanyafanya huko pm yangu ijae uzuri wako angalau nipate baraka mujarab..😂
Kabisa, lakini hawasikii tuALLAH adhihakiwi! nahiyo iwe fundisho kwa wengine
Nilizimia kabisa, wananipepea hapaUmelia?
Ha haaa nani huyo anakupepea?Nilizimia kabisa, wananipepea hapa
inategemea na mtu au we unataka wapi sasa..?Pm sio mahali salama...trust me, pana stress za kutosha huko😀
Majirani maana nilipiga nduru cc Wakenya😂Ha haaa nani huyo anakupepea?
Mwaka juzi Kuna mdada humu nilidate naye akanitumia picture za utupu. Baadaye tulitofautiana kidogo akazifuta ila Mimi nilishazidownload. Nilipomuambia umechelewa kuzifuta akabadili ID ila hata hiyo mpya naijua😅Pm sio mahali salama...trust me, pana stress za kutosha huko😀
Una ujumbe gani kwake?Mwaka juzi Kuna mdada humu nilidate naye akanitumia picture za utupu. Baadaye tulitofautiana kidogo akazifuta ila Mimi nilishazidownload. Nilipomuambia umechelewa kuzifuta akabadili ID ila hata hiyo mpya naijua😅