Kwa mujibu wa takwimu za BOT hadi julai 2024 deni la taifa limefikia Trillioni 98.5 tangu tupate uhuru.
Imetuchukua miaka 60 tangu kupata uhuru from 1961 to 2020 na Maraisi Watano Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli kufikisha Trillioni 56.5 ya Deni la taifa.
Halafu ndani ya miaka mitatu tu 2021-2024 chini ya Rais mmoja SSH ambaye hajamaliza hata mhula mmoja tayari tumesha-accumulate Trillion 42 ya deni la taifa sawa na asilimia 43% ya deni lote.
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tulimuonea sana Spika mstaafu Job Ndugai aliposema, "Madeni, madeni, madeni kuna siku nchi itapigwa mnada".