Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

White elephant projects, unaletewa mradi mkubwa unawakopa mradi wenyewe unatumia miaka mingi 10 - 40 yrs bila kumalizika au unafika katikati pesa inakata inabidi nchi ikope tena kwa riba kubwa refa. SGR na Stieglers Gorge.
 
kwanini munapenda kupotosha uhalisia? sas tilioni 10 aliyokopa mkapa ni sawa na trilioni 10 aliyokopa Samia? usawa wake wa rate ya dola upoje? vipi kuhusu inflation adjusted?

usikate tukienda deep tunaweza kugundua yeye ndie aliekopa kidogo zaidi
 
Kwa hapa tulipofika na hulka ya mtanzania sioni lolote likifanyika, ila hii tu ilitosha kumtoa huyu bimdashi hapo alipo.
 
Magufuli alisema hakopi hizo data zitakuwa za mchongo mtu!
 
Je, hao watangulizi walikopa na kulilipa deni lote?

Tangu maandamo yafeli mnahasira sana na Mama😆😆
Mbona hii nchi inavijana wajinga wengi kama nyie hapa tunazungumzia deni la taifa ambalo linausu watu wote wenye vyama na wasio na vyama
 
Ifikie wakati tuambiwe deni mwaka huu limelipwa kiasi kadhaa na limeongezeka kwa kiasi kadhaa

wanasiasa wapinzani, wasomi, wachumi mbona wapo kimya.
 
And do we have anything to show for it ?
 
Unapotia mfano tumia akili kulinganisha na idadi ya watu, mtu akidai kuwa Nyerere hakuwahi kupata kura zaidi ya milioni 30 atakuwa hakutumia akili kwani wakati wake idadi ya watu haikuzidi milioni 15.
 
Unapotia mfano tumia akili kulinganisha na idadi ya watu, mtu akidai kuwa Nyerere hakuwahi kupata kura zaidi ya milioni 30 atakuwa hakutumia akili kwani wakati wake idadi ya watu haikuzidi milioni 15.
Waambie BOT wawe wanatumia akili kutuletea takwimu zao
 
Na bado, mpaka akiondoka atahakikisha anakuachieni deni la kulipa milele.

Mama anaupiga mwingi.

Kizimkazi hakutoki fala. Katumwa pesa.
Labda kama katumwa azichukue nyumbani kwenu
 
Mbona mna nongwa Sana wakuu kwani miradi mipya aliyoanzisha hamuioni aiseee🤣🤣😂😂🤣
 
Supika Ndugai hajaonewa na mtu kwa sababu na yeye ni mtetezi Mkuu wa Katiba hii iliyopo ambayo hata yeye baada ya kukurupuka kwake akajikuta baadaye amelazimika kuomba msamaha kwa yule aliyepewa madaraka yote anayoyahitaji katika kuongoza Nchi !!

Nimekosa Nimekosa sana Mimi. !!

Uzuri wa Katiba ni kama Msumeno,
Msumeno huwa unakata mbele na nyuma !

Au nasema uongo ndugu zanguni ??!😳😁😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…