Deni La Taifa; Nyerere, Mkapa, Mwinyi, Kikwete na Magufuli kwa pamoja walikopa Trillioni 56.5. Samia kwa miaka 3 amekopa Trillioni 42

Mnapenda sana kulinganisha vitu safi na uchafu!
 
Mdogo sana, kwa mtu aliyekuta treni ya umeme iko asilimia kumi, daraja la JPM asilimia tano, stiglers asilimia 15
 
V8 new model wanaziachaje kila mwaka
 
Ukiangalia trend ya deni la Taifa utaona riba zinatuumiza sana.

Maana linaongezeka tu kila mwaka.

Haya mabeberu sio watu wazuri kabisa.

Magufuli alivyokuwa anataka kuacha kuwakopa walimkasirikia mno.
 
hebu tuwekee in dollers, hizo hela hakukopa nmb
 
Wanakopea jina la, Tanzania, mlipaji Tanganyika , inayojengwa Zanzibar, wanoajiriwa kwa wingi Zanzibar. Deni lote watalipa vizazi vya Mtanganyika tu. Ardhi inayodhamini mali inayodhamini mkopo ya Mtanganyika.
 
Kweli vita vya Kagera vilituacha na madeni mengi na ndicho chanzo cha kuporomoka kwa uchumi.
kwamba hii fedha imekopwa na samia kulipa madeni ya vita vya kagera ama
 
Ina maana tunakopa wastani wa Trillioni 14 kwa mwaka, speed yote hii ya nini na inatupeleka wapi.
Tunajengea Zenji halafu Tanganyika pekee watabeba mzigo wa kulipa hayo madeni..
 
Kwa sababu ya kuwekeza kwa machawa na wasanii, na safari za etsielo dream linner zisizoisha. Ndio maana tunaambiwa nchi imepaka na tumetoka gizani kwa kuwa tunasafiri Sana nchi za nje.
 
Tukifikha tr200 itakuwa good aendelee kukopa nitalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…