Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Sijaona sababu zinazo semwa hapa jukwaani mbona..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona sababu zinazo semwa hapa jukwaani mbona..?
Za tozo za miamala. Zikiisha tutaweka tozo za kujamiiana, jinsi tunavyopenda ngono tutakuwa mabilionea kabisa bila misaada yao.Wafunge tu. Tuna ela
Halafu yawezekana wewe ndiye Mshauri wa Mama Tozo.Kushinda Kenya ambayo inasumbuliwa na Alishabab?
Mbona huko hawafungi?
Hawa mabeberu wakigundua ka nchi kenu watu wake waoga wa maisha, wanapenda kulialia, wasumbua kishenzi!
Acheni ujinga, wafunge waondoke tu, kwa nini tulielie bhana
Tulia upigwe mwingiIje basi fake news clarification.
Kweli walifanya ovyo kusema mbowee gaidiWapo sahihi kabisa.Siyo kitu kirahisi kuwa na balozi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.
Si kuna watu kadhaa wapo lockup kwa tuhuma za ugaidi?Na juzi pia gaidi Hamza si aliuweka ubalozi wa ufaransa under presha hadi mlizi wao akauawa?
Nashauri pia nchi nyingine za Ulaya na Marekani wafunge balozi zao pia kwa sababu kuna threat kubwa sana ya security Tanzania kutokana na ugaidi.
Hapana,, Ela!!!Hela!!!! 😂😂😂😂
Haitachukua muda, tusubirie kusikia toka Finland, Sweden na Norway.Mwaka jana walishatuweka kwenye mpango wa kupunguziwa au kukatiwa misaada kutokana na kuzorora kwa demokrasia nchini
😂 😂 😂Si tuliwatangazia wenyewe tuna Magaidi humu kwetu?
Hawakuamini ,tukaamua kufanya show ya kweli pale salender chini ya Sterling Hamza.
Sasa vile viposho vya mashirika ya kidenish yamekauka
Haswaa, miradi yao ni himilivu na yenye manufaa kwa jamii.Denmark ni washirika muhimu tusiwapoteze
Usisahau chanjo zote za watoto.Haswaa, miradi yao ni himilivu na yenye manufaa kwa jamii.
Nakumbuka DANIDA miradi ya ukarabati wa shule na maji nchinii
Huu uwendawazimu tunaouendekeza wa kuona mwana-CCM ni binadamu zaidi na mwenye haki zaidi kuliko raia wengine wote, malipo yake tutayapata.Nchi nyingi zitafunga balozi zake huwezi kuwa na ushirikiano na nchi inayovunja haki za kiraia na wanasiasa wa upinzani.
Sawa tutajenga kwa Tozotuache kulialia na kutegemea watu kujenga nchi zetu.....wao walijengewa na nani...tujikaze watoto wa kiume tujenge Taifa letu nalo siku tukifunga ubalozi huko nao watetemeke.... kama wanaume wote tunaona na kukubalian CCM ndio shida tunashindwa nini kuitoa kwa kuivimbia ili tuache kulia lia kwa wazungu na kulilia passport zao ilihali mnakwetu na wenzenu wanakwao babu zao walikujenga...Jengeni kwenu watoto wenu wawe proud na passport za kwao...