DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Ww kwenu kuna majizi yako bungeni yanaiba na unayalipa mshahara kwa kodi yako na bado yanakutingia sheria za kipuuzi na tozo kibao je umeyashughulikia 🤯
Namna ya kuyashughulikia hayo "majizi" sio kuvamia Bungeni na kuharibu mali, bali ni kwa njia ya sanduku la "kura".

Tunapaswa kuheshimu "mamlaka" zilizopo. Tukiona Serikali hatimizi matakwa yetu basi tuiondoe kwa kufuata utaratibu ambao ni "sanduku la kura".
 
Ilibaki asilimia 20% ya maandamano kumuondoa ruto na yeye mwenyewe anajua vizuri sana
 
M
Mahakama si zipo?
Kutumia nguvu maana yake Ni kwamba huwezi mabishano yenye point.
Tutaona Kama kuua kutamfikisha mbali muuaji.
Mifano Ni mingi na ninyi mnaijua. Yuko wapi Saddam Hussein, Yuko wapi idd Amin, Yuko wapi Mobutu. Yuko wapi Moi.
 
Umejibu vyema sana. Sasa nikuulize baada ya Marais wote hao uliowataja kuondolewa nini kilibadilika kwenye nchi zao?

Je, wananchi wa hizo nchi wamekuwa na maisha bora au matatizo yao bado yako pale pale?
 
Hapa mnachanganya mada.
Iddi Amin alitolewa na watanzania baada ya kuivamia ardhi ya Tanzania, hivyo kufurumushwa kwake kukaleta maisha ya amani kwa waliovamiwa. Sadam Hussen naye hakuondolewa na wananchi wake.
 
Kwa maoni haya ya kijinga hata Mau Mau walikuwa wajinga tu kufa kwa ya Jambo ambalo hawatalifaidi wakiwa makaburini. Wapiganaji wa Frelimo kule Msumbiji, Africa kusini, Namibia na kwingineko wote waliokufa kupigania haki ya Nchi zao Walikuwa wajinga tu kwa mujibu wa ujinga wa huyu mchangiaji
 
Amini nakwambia kama leo hii wangefufuliwa na kupata nafasi ya kuishi, wangekiri wazi kabisa kuwa walichokifanya kilikuwa ni upumbavu na kujilisha upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…