Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Kwa madai kwamba wamenajisi/dhalilisha jengo!! Rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini adhabu isiwe kifo maana wame dhalilisha ua kunajisi hawa toa uhai.Kwa madai kwamba wamenajisi/dhalilisha jengo
3rd law... NewtonDENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
View attachment 3038260
View attachment 3038261
Siasa/harakati ni ngumu, kifo nje nje!! Kutoana katka kiti si jambo jepesiLakini adhabu isiwe kifo maana wame dhalilisha ua kunajisi hawa toa uhai.
Namna ya kuyashughulikia hayo "majizi" sio kuvamia Bungeni na kuharibu mali, bali ni kwa njia ya sanduku la "kura".Ww kwenu kuna majizi yako bungeni yanaiba na unayalipa mshahara kwa kodi yako na bado yanakutingia sheria za kipuuzi na tozo kibao je umeyashughulikia 🤯
Kenya ndio zao miaka yoteDuuh,kumbe kenya nako wasiojulikana wapo.
Ilibaki asilimia 20% ya maandamano kumuondoa ruto na yeye mwenyewe anajua vizuri sanaMkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Mahakama si zipo?Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.
Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Hasa kwa sisi Afrika ndio mtiti kabisaaaSiasa/harakati ni ngumu, kifo nje nje!! Kutoana katka kiti si jambo jepesi
Umejibu vyema sana. Sasa nikuulize baada ya Marais wote hao uliowataja kuondolewa nini kilibadilika kwenye nchi zao?M
Mahakama si zipo?
Kutumia nguvu maana yake Ni kwamba huwezi mabishano yenye point.
Tutaona Kama kuua kutamfikisha mbali muuaji.
Mifano Ni mingi na ninyi mnaijua. Yuko wapi Saddam Hussein, Yuko wapi idd Amin, Yuko wapi Mobutu. Yuko wapi Moi.
🤣🤣🇰🇪Huyo Rais wa Kenya kazi anayo inaelekea kuna watu wanataka wamng'oe kbs kwenye kiti
Hapa mnachanganya mada.Umejibu vyema sana. Sasa nikuulize baada ya Marais wote hao uliowataja kuondolewa nini kilibadilika kwenye nchi zao?
Je, wananchi wa hizo nchi wamekuwa na maisha bora au matatizo yao bado yako pale pale?
Kabisa na siri ya viongozi wa Afrika ni kutegeana ili wadunguwane. Ulafi wa madaraka huu.Huyo Rais wa Kenya kazi anayo inaelekea kuna watu wanataka wamng'oe kbs kwenye kiti
Kwa maoni haya ya kijinga hata Mau Mau walikuwa wajinga tu kufa kwa ya Jambo ambalo hawatalifaidi wakiwa makaburini. Wapiganaji wa Frelimo kule Msumbiji, Africa kusini, Namibia na kwingineko wote waliokufa kupigania haki ya Nchi zao Walikuwa wajinga tu kwa mujibu wa ujinga wa huyu mchangiajiMkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Amini nakwambia kama leo hii wangefufuliwa na kupata nafasi ya kuishi, wangekiri wazi kabisa kuwa walichokifanya kilikuwa ni upumbavu na kujilisha upepo.Kwa maoni haya ya kijinga hata Mau Mau walikuwa wajinga tu kufa kwa ya Jambo ambalo hawatalifaidi wakiwa makaburini. Wapiganaji wa Frelimo kule Msumbiji, Africa kusini, Namibia na kwingineko wote waliokufa kupigania haki ya Nchi zao Walikuwa wajinga tu kwa mujibu wa ujinga wa huyu mchangiaji
Mapambano ya kutafuta haki ya jamii, sio lazima matunda ayafaidi mpambanaji.Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani??????????????