DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Kwa Hizi Akili zako hakuna Nchi ingepata Uhuru Afrika hii...tuwashukuru sana Babu zetu kwa kizazi hiki kama wangekuepo wakoloni tungetawaliwa hadi 2500
Kwanza wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kupigania uhuru wa Afrika.

Hao wapigania uhuru walichofanya ni kuandaa mifumo ya kinyonyaji ya kunufaisha vizazi vyao.

Huu uhuru uliopo Afrika ni uhuru uchwara wa kuwafaidisha wachache huku maelfu ya raia wakiogelea kwenye dimbwi la umaskini.

Mkoloni angebaki kutawala leo hii Afrika ingekuwa level moja na Europe na Amerika.
 
Kwani Yesu aliposulubiwa msalabani wewe umepata faida Gani. Si angeweza Kugoma kusulibiwa?

Mbegu ili iote na kuzaa matunda lazima ife na ioze ndipo iote. je ile inayooza inapata faida Gani ili hali wanaokula matunda ni wengine?

Ukinielewa, nenda kaombe radhi usiponielewa ni sawa tu. Kaa kimya
 
Sawa.
 
Si awakamate!
 
Acha kuleta sympathy kwa muhuni Ruto. Alijiapiza kuwashughulikia hawa walioonekana bungeni na ndo kafanya. Unashangaa nini?
 
Sasa angalia ujinga huu,mtu kaacha masomo kaenda kukimbia kimbia mtaani na kufanya fujo.
Haya sasa unakufa unaacha majonzi kwa nduguzo.
Hao viongozi wako palepale.
Watz tunaonekana mandezi,hapana ila watu wanaelewa thamani ya uhai wao.
Badala kupoteza muda kumpigia kelele rais ajiuzuru wanatafuta ugali wao
 
Wewe ni COWARD .na mbinafsi..Hivi watu waliojitoa mhanga kipindi cha Ukoloni hata hapa Afrika tu wote walikuwa marais au mawaziri wakuu?? Kila mtu anaguswa kivyake kwenye haya maisha - Talking about death: Kifo ni kitu gani, ukifa unakunywa bia, unakula wali au upo kitandani does it make a difference??Kuna watu wanakufa kwa ajili tena kikatili sana, does it make a difference,familia zao zinapata faida gani??
 
Unakubali baada ya kuuwa watu?
 
Hii ni primitive way of thinking, hata uhuru ulionao leo wengi walikufa katika mchakato wa kuupigania.
 
Usifanye watu hawana akili kama mamlaka ya kulinda raia na mali zao hawahusiki na hayo mauaji basi uchunguzi ufanyike waliohusika wawajibishwe hiyo ndio pekee ya kujisafisha sio kukaa. Kimya bila kuchukua hatua zozote kama bi mrembuaji.
 
Behind the seen unaweza kuta kuna watu wanataka maandamano yaendelee sasa wanatafuta hasira za umma hii inakuwa ngumu na wengi wanakamatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…