Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Yule atakayeingia Ikulu.Mkuu, kweni ukifanikiwa kwenye maandamano nayo ni faida ya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule atakayeingia Ikulu.Mkuu, kweni ukifanikiwa kwenye maandamano nayo ni faida ya nani?
Kwanza wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kupigania uhuru wa Afrika.Kwa Hizi Akili zako hakuna Nchi ingepata Uhuru Afrika hii...tuwashukuru sana Babu zetu kwa kizazi hiki kama wangekuepo wakoloni tungetawaliwa hadi 2500
Kwani Yesu aliposulubiwa msalabani wewe umepata faida Gani. Si angeweza Kugoma kusulibiwa?Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Sawa.Kwanza hao wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kudai uhuru wa nchi za Afrika.
Mwafrika hawezi kujitawala mwenyewe na hajawahi kuweza.
Hao wapigania uhuru hakuna walichofanya zaidi ya kuandaa mifumo ya kinyonyaji kwa wachache huku kundi kubwa la raia wakibaki maskini.
Mkoloni angebaki kutawala Afrika leo hii usingehitaji hata viza kwenda Amerika au ulaya.
Hicho ndicho walikua wanakitaka, wanaohamasisha maandamano wako manyumbani kwao wanakula bata, kuku kwa mrijaDENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
View attachment 3038260
View attachment 3038261
Si awakamate!Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Kenya Katiba Mpya Ni mzahaMmoja mmoja
Acha kuleta sympathy kwa muhuni Ruto. Alijiapiza kuwashughulikia hawa walioonekana bungeni na ndo kafanya. Unashangaa nini?Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Hahhaaaa, wawaombe tu alshabaab ni few days watakamatika tu hao majiziMajina yalitolewa kabisa kweny vyombo vya habari watatafutwa mmoja baada ya mmoja .
🤮🤮🤮Acha kuleta sympathy kwa muhuni Ruto. Alijiapiza kuwashughulikia hawa walioonekana bungeni na ndo kafanya. Unashangaa nini?
😀 😀 😀Hahhaaaa, wawaombe tu alshabaab ni few days watakamatika tu hao majizi
Inasikitisha.Kupambana na mamlaka sio mchezo, mbaya zaidi walipost.
Wewe ni COWARD .na mbinafsi..Hivi watu waliojitoa mhanga kipindi cha Ukoloni hata hapa Afrika tu wote walikuwa marais au mawaziri wakuu?? Kila mtu anaguswa kivyake kwenye haya maisha - Talking about death: Kifo ni kitu gani, ukifa unakunywa bia, unakula wali au upo kitandani does it make a difference??Kuna watu wanakufa kwa ajili tena kikatili sana, does it make a difference,familia zao zinapata faida gani??Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.
Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???
Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.
Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Unakubali baada ya kuuwa watu?Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Hii ni primitive way of thinking, hata uhuru ulionao leo wengi walikufa katika mchakato wa kuupigania.Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.
Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.
Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Usifanye watu hawana akili kama mamlaka ya kulinda raia na mali zao hawahusiki na hayo mauaji basi uchunguzi ufanyike waliohusika wawajibishwe hiyo ndio pekee ya kujisafisha sio kukaa. Kimya bila kuchukua hatua zozote kama bi mrembuaji.Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?