DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Kwa Hizi Akili zako hakuna Nchi ingepata Uhuru Afrika hii...tuwashukuru sana Babu zetu kwa kizazi hiki kama wangekuepo wakoloni tungetawaliwa hadi 2500
Kwanza wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kupigania uhuru wa Afrika.

Hao wapigania uhuru walichofanya ni kuandaa mifumo ya kinyonyaji ya kunufaisha vizazi vyao.

Huu uhuru uliopo Afrika ni uhuru uchwara wa kuwafaidisha wachache huku maelfu ya raia wakiogelea kwenye dimbwi la umaskini.

Mkoloni angebaki kutawala leo hii Afrika ingekuwa level moja na Europe na Amerika.
 
Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.

Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???

Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.

Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Kwani Yesu aliposulubiwa msalabani wewe umepata faida Gani. Si angeweza Kugoma kusulibiwa?

Mbegu ili iote na kuzaa matunda lazima ife na ioze ndipo iote. je ile inayooza inapata faida Gani ili hali wanaokula matunda ni wengine?

Ukinielewa, nenda kaombe radhi usiponielewa ni sawa tu. Kaa kimya
 
Kwanza hao wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kudai uhuru wa nchi za Afrika.

Mwafrika hawezi kujitawala mwenyewe na hajawahi kuweza.

Hao wapigania uhuru hakuna walichofanya zaidi ya kuandaa mifumo ya kinyonyaji kwa wachache huku kundi kubwa la raia wakibaki maskini.

Mkoloni angebaki kutawala Afrika leo hii usingehitaji hata viza kwenda Amerika au ulaya.
Sawa.
 
Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Si awakamate!
 
Acha kuleta sympathy kwa muhuni Ruto. Alijiapiza kuwashughulikia hawa walioonekana bungeni na ndo kafanya. Unashangaa nini?
 
Sasa angalia ujinga huu,mtu kaacha masomo kaenda kukimbia kimbia mtaani na kufanya fujo.
Haya sasa unakufa unaacha majonzi kwa nduguzo.
Hao viongozi wako palepale.
Watz tunaonekana mandezi,hapana ila watu wanaelewa thamani ya uhai wao.
Badala kupoteza muda kumpigia kelele rais ajiuzuru wanatafuta ugali wao
 
Mkuu kuondoa Serikali iliyopo madarakani kwa njia ya maandamano sio kazi rahisi, inawezekana lakini sio rahisi hata kidogo.

Na hata kama watafanikiwa kuindoa Serikali ya Ruto madarakani, hao waliokufa wanapata faida gani???

Mimi binafsi sioni faida ya kupoteza uhai kwa kuindoa Serikali. Utaindoa lakini sio wewe wala ndugu zako watakaoingia Ikulu. Watakaoingia ni wengine ambao hata hawakujui. Wakati huo wewe unaoza kaburini.

Ndiyo maana nimeuliza unatoa uhai wako kwenye maandamano kwa faida ya nani????
Wewe ni COWARD .na mbinafsi..Hivi watu waliojitoa mhanga kipindi cha Ukoloni hata hapa Afrika tu wote walikuwa marais au mawaziri wakuu?? Kila mtu anaguswa kivyake kwenye haya maisha - Talking about death: Kifo ni kitu gani, ukifa unakunywa bia, unakula wali au upo kitandani does it make a difference??Kuna watu wanakufa kwa ajili tena kikatili sana, does it make a difference,familia zao zinapata faida gani??
 
Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Unakubali baada ya kuuwa watu?
 
Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.

Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.

Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Hii ni primitive way of thinking, hata uhuru ulionao leo wengi walikufa katika mchakato wa kuupigania.
 
Naanza kuamini haya maandamano ya Kenya pamoja na yooote yana mkono wa mtu, kilichokua kinasubiriwa ni Ruto ajichanganye na alipoingia king watu wakasukuma kete. , hivyo basi kundi hilo hilo la mitego limeanza kusukuma kete nyingine muhimu katika mipango yao ili ionekane Ruto anaua watu kwa kisasi hapo sasa maandamano yatazidi na lengo lao litazidi kutimiq, jiulize kama Ruto kakubali kutia mpira kwapani kwanini madogo kila kukicha wanazua jipya?
Usifanye watu hawana akili kama mamlaka ya kulinda raia na mali zao hawahusiki na hayo mauaji basi uchunguzi ufanyike waliohusika wawajibishwe hiyo ndio pekee ya kujisafisha sio kukaa. Kimya bila kuchukua hatua zozote kama bi mrembuaji.
 
Behind the seen unaweza kuta kuna watu wanataka maandamano yaendelee sasa wanatafuta hasira za umma hii inakuwa ngumu na wengi wanakamatika
 
Back
Top Bottom