DENZEL OMONDI ambaye kwenye list ambayo walishirki kujipost bungeni huko kenya naye amefariki na kutupwa

Mzee hakuna changes bila sacrifices, sehemu yeyote unapoona mabadiliko huwa yanakuja na gharama thus why hata JPM hayupo leo. He was striving for changes japo hakuishi muda mrefu ila leo hii treni inatembea bwawa la Nyerere limekamilika na tunatembea kwenye 8 lane road inayoamzia Kimara mwisho to Kibaha. Hizo ni faida za mapambano yake japo yeye hayupo ila familia yake inafurahia matunda hayo.
Mkuu umetoa mfano ambao sio relevant. JPM alikuwa Rais, alijitoa akiwa kama Rais. Baada ya kufariki familia yake inatunzwa, inalindwa na Mke wake kila mwezi anapokea 80% ya mshahara wa JPM pamoja na marupu rupu mengine.

Turudi kwa akina sisi tusiojulikana na system. Ujitoe muhanga kwenye maandamano, upigwe risasi ufe, lakini maandamano yalete tija mabadiliko yatokee. Je, ni nani atakayekukumbuka? Ni nani atakayewatunza watoto wako na Mkeo?

Nikupe mfano mzuri, kule Tunisia walikufa watu kwenye maandamano yaliyoleta mabadiliko ya Serikali, baada ya mabadiliko hao waandamanaji walio kufa familia zao zimepata nini?

Je, Serikali iliyopo madarakani imewakumbuka kwa kuzijali familia walizoacha??

Jibu ni dogo sana, "hakuna anayewakumbuka". Wamesahaulika katika makaburi ya "sahau".

Ndiyo maana nimeuliza tena, unaandamana na kupoteza maisha kwa faida ya nani????
 
Basi tuishi kimbuzi tu hamna namna hilo sindio unasisitiza. Tutegemee kudra za Mungu haki iendelee kutolewa kwa hisani sababu unaogopa utakufa. Ishi kitumwa sababu ya kuogopa risk sio kila anaendamana atakufa. A man who fears challenges
 
Ni mpumbavu sana huyo jamaa
Kufa kila mtu atakufa swali utakufaje hakuna anayejua ila wote tutakufa

Jamaa ana-fikra za kibinafsi alafu za kijinga sana
 
DENZEL OMONDI alionekana kutrend kwenye mitandao ya kijamii kwenye mgomo huko kenya naye ni muwanga ambaye alipotea na wengine ambao walionekana kujipost bungeni.
View attachment 3038260

View attachment 3038261
Kuna kitu kinaitwaga
""DEATH & DIS APPEARANCE"' hili Ni SoMo kabisa kwenye intelligensia na dipromasia..

Nature ya watu wa Kenya na ukisha kua radical kwa serikali yeyote Ile ukiwa common man jibu huwa Ni jepesi mno "" utapelekwa kule ambapo watu wakienda huwa hawarudi""

Case study zipo nyingi sanaa Africa Zimbabwe, Congo, Uganda,Rwanda, Burundi, Gabon e.t.c

Pumzika kwa amani Ben sanane
 
Kuna kitu kinaitwaga
""DEATH & DIS APPEARANCE"' hili Ni SoMo kabisa kwenye intelligensia na kidipromasia..

Nature ya watu wa Kenya na ukisha kua radical kwa serikali yeyote Ile ukiwa common man jibu huwa Ni jepesi mno "" utapelekwa kule ambapo watu wakienda huwa hawarudi""

Case study zipo nyingi sanaa Africa Zimbabwe, Congo, Uganda,Rwanda, Burundi, Gabon e.t.c

Pumzika kwa amani Ben sanane
KWA HIYO NDIO MNATUMIA HAPA TANZANIA MWENYEKITI WA WATEKAJI
 
Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.

Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.

Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Na mnaua kwa faida ya nani??
 
Mkiyajua ya GITARAMA si ndio balaa kuu.
Ukijifanya imara zaidi ukijifanya una nguvu zaidi ukijifanya mkaidi zaidi UTAPIGWA TU by the late prime minister mizengo pinda
 
Unavamia ofisi za Bunge, unaharibu vitu halafu unaji post kwenye mitandao. Hiyo ni dharau kubwa kwa ofisi ya Bunge hawawezi kukuacha salama.

Utashughulikiwa tu. Kila kitu kina gharama zake, ukifanya kitu cha hovyo lazima ujiandae kulipia gharama.

Swali, unakufa kwenye maandamano kwa faida ya nani?????????????????
Mkuu, kweni ukifanikiwa kwenye maandamano nayo ni faida ya nani?
 
Katika Maisha ya hapa ulimwenguni,vyovyote ulivyo uwe nacho au huna,Una madaraka makubwa au maamzi ishi kwa kujua wewe ni binadamu Kama walivyo wengine.Maana hujui kesho yako pia.Hakuna kitu Huwa kinatesa moyo wangu kusikia watu kuteswa au kupotezewa Maisha na binadamu wenzao wenye mfano wa muumba wetu.So sad,wapumzike kwa Amani.
 
Kama inafaa kugharamia mabadiliko wala sioni ajabu. Yeye ni sehemu ya hiyo gharama na ninaamini hata na wao walijua kuwa watakuwa na gharama ya kulipa. Siku mabadiliko wanayoyalenga yakipatikana majina ya wahanga hawa yataandikwa kwa wino wa dhahabu.
Hata wakati watu wanapigania kujikomboa na kujitawala kutoka kwa wakoloni,wapo waliokuwa wanaona harakati hizo hazikuwa na maana lakini leo sio wao tu bali vizazi vyao vyote vinafurahia matunda ya sadaka ya uhai iliyotolewa na wapambania uhuru waliokufa katika mchakato.
Kwanza hao wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kudai uhuru wa nchi za Afrika.

Mwafrika hawezi kujitawala mwenyewe na hajawahi kuweza.

Hao wapigania uhuru hakuna walichofanya zaidi ya kuandaa mifumo ya kinyonyaji kwa wachache huku kundi kubwa la raia wakibaki maskini.

Mkoloni angebaki kutawala Afrika leo hii usingehitaji hata viza kwenda Amerika au ulaya.
 
Umejibu vyema sana. Sasa nikuulize baada ya Marais wote hao uliowataja kuondolewa nini kilibadilika kwenye nchi zao?

Je, wananchi wa hizo nchi wamekuwa na maisha bora au matatizo yao bado yako pale pale?
Mawazo yako yanakufanya uwaze hapa karibu sana.Hebu fikiria ata miaka 150 ijayo basi.Haya maisha unayoyaishi wewe leo kuna watu waliyapigania miaka mingi iliyopita kabla ata ya kina kinjekitike sasa usifikiri yanaishia hapa.Utakachokipigania leo watakaokuja kunufaika inawezekana ni kizazi chako cha 7.na kama unaona wewe huwezi jua ukuzaliwa kua hivyo ila wako walioumbwa ivyo kuwapambania wengine.
 
Mkuu umetoa mfano ambao sio relevant. JPM alikuwa Rais, alijitoa akiwa kama Rais. Baada ya kufariki familia yake inatunzwa, inalindwa na Mke wake kila mwezi anapokea 80% ya mshahara wa JPM pamoja na marupu rupu mengine.

Turudi kwa akina sisi tusiojulikana na system. Ujitoe muhanga kwenye maandamano, upigwe risasi ufe, lakini maandamano yalete tija mabadiliko yatokee. Je, ni nani atakayekukumbuka? Ni nani atakayewatunza watoto wako na Mkeo?

Nikupe mfano mzuri, kule Tunisia walikufa watu kwenye maandamano yaliyoleta mabadiliko ya Serikali, baada ya mabadiliko hao waandamanaji walio kufa familia zao zimepata nini?

Je, Serikali iliyopo madarakani imewakumbuka kwa kuzijali familia walizoacha??

Jibu ni dogo sana, "hakuna anayewakumbuka". Wamesahaulika katika makaburi ya "sahau".

Ndiyo maana nimeuliza tena, unaandamana na kupoteza maisha kwa faida ya nani????
Kwa Hizi Akili zako hakuna Nchi ingepata Uhuru Afrika hii...tuwashukuru sana Babu zetu kwa kizazi hiki kama wangekuepo wakoloni tungetawaliwa hadi 2500
 
Back
Top Bottom