C-C Digital Pro
JF-Expert Member
- Mar 15, 2026
- 361
- 532
WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).
Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma, yaani unaoa utakaye bikiri(utakaye muondolea usichana wake). Mila hii ya kisukuma husababisha ndoa kudumu na mapenzi kuwa imara. Mara nyingi Wanawake walioondolewa usichana wao huwa hawadumu Kama walio waondolea usichana wao wapo hai. Wengi huwarubuni kwa kigezo Cha kwamba ndio waliwafungua milango ya mapenzi.
Nimeona ni vyema nipate mwenza ambaye bado msichana mbichi kabisa Tena bikira na huyo hawezi kwenda kinyume na mipango ya Mungu, Kama nikipata msukuma mwenzang(Tanzania), itakuwa Safi zaidi maana tutaelewana kwa lugha au raia wa United States of America (Marekani) au Africa kusini na awe mweusi mwenzangu atakaye tunza utamaduni wa mtu mweusi. Najua wengi watachukia lakini Bora wanichukie ili nitimize malengo yangu na TAMAA yangu.Mama yangu mweusi, baba yangu mweusi na Mimi ni mweusi na Bikira mweus
Mungu bariki kabila Langu la Wasukuma, Mungu bariki wazazi wangu mbariki mwanamke bikira atakaye patikana kuolewa na Civilian Coin. Mungu na MALAIKA wako wote na watakatifu wako wote mbariki Civilian Coin apate jiko Takatifu(Binti/Mwanamke Bikira Mtakatifu).
Asanteni.
Leo, Jumamosi, May2,2026.
Civilian Coin ametangaza rasmi kuoa Binti mbichi(mwanamke aliye bikira), kwa maelezo yake ni kuwa yeye hajawahi kuwa na Mahusiano na mwanamke bikira na hivyo hatooa mpaka apate mwamke bikira. Moja ya post zake FB hapo Chini.