Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Ndiyo huyu aliwahi kuepelekwa mahakamani akidaiwa matunzo ya watoto.akatoa utetezi kwamba mimba sio zake sababu ana kibami@ hawezi kutungisha.
Alikuwa Mwalimu wa secondary Mwanza na sio shinyanga.Saa mbovu imerekebishwa majira...🤣
Jamaa alikua mwalimu huko kahama, then akazingua kitu flani nishahaha ingawa ilikua ni mambo ya harakati akatiwa nondo.
Alipo toka kichwa ikayumba akaanza ku rap sijui ikawaje.... mara akatangaza kutimba kwa Obama kumchumbia Malia.....yaani hii dude ilikua ni fully hekaheka memba wa Jf kitambo sana huyu Don Nalimi Son.
Sio poa huyu mwamba, aliwahi mkata bit mwenye jamiiforums yake hapa hadi tukasema loh....🤣Mbona ana matukio lukuki hivi?🤣
Jikite katika mada acha matusi yasiyo na msingiWewe nae kiazi ,kafanya kitu gani ajulikane na kila mtu?
Shule gani?Alikuwa Mwalimu wa secondary Mwanza na sio shinyanga.
Kafanya kitu gan mpaka kila mtu amjue wewe kiazi?Jikite katika mada acha matusi yasiyo na msingi
Google taarifa zake utaziona andika Deo au Deogratius kisanduShule gani?
Watoto wa juzi Jf hawajui balaa la Deo Kisandu , enzi hizo alikuwa member maarufu sana humu , full vituko nyuzi zake na yupo vizuri kwenye kujenga hoja na kujadili kwa facts japo Wadau walikuwa wanamchukulia kama kichaaWatoto wadogo Wa JF hawamjui Kisandu A.K.A Mme wa Maria Obama.
Thread 'Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni' Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoniShule gani?
Sawa mkubwa, kwahiyo humu jf tusiwe tunajadili lolote kila mtu ana google kwa simu yake! Off we go bro!Thread 'Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni' Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni
Then nyie madogo muwe mnafatilia mambo sio Kila kitu unauliza wakati the all informations zipo ktk fingertips yako .
Huyo ni public figure katika siasa na alikuwa Smart sana upstairs ni Moja ya watu walioijenga chadema upande wa BAVICHA kuanzia vyuoni mpaka mtaani na amewahi kuwa mgombea ubunge n.kWatoto wa juzi Jf hawajui balaa la Deo Kisandu , enzi hizo alikuwa member maarufu sana humu , full vituko nyuzi zake na yupo vizuri kwenye kujenga hoja na kujadili kwa facts japo Wadau walikuwa wanamchukulia kama kichaa
Hapana 😁 usichukulie serious wewe ulizaSawa mkubwa, kwahiyo humu jf tusiwe tunajadili lolote kila mtu ana google kwa simu yake! Off we go bro!
Kuna wakati alidai asili yake yeye ni USA sio mbongo na akaandaa Uzi mrefu wenye hoja tetezi na akakataa asili ya kwao.Alikuwa Mwalimu wa secondary Mwanza na sio shinyanga.
Mwaka 2018 alipata kesi ya matumizi mabaya ya mtandao.
Baadae alihukumiwa kifungo au faini
Alikosea faini akahukumiwa
Baada ya kufungwa alipoteza ajira yake rasmi .
Na baadae alienda kwao kahama na baadae aligombana na mama yake na kumshutumu kuwa ni mchawi baada ya mama yake kumgomea kuuza kitanda.
Baadae mama yake alimshtaki akafungwa tena.
Nadhani serikali haipo serious huyu jamaa ana mental issue muda mrefu ila namna Wana deal nae ni kama Wana deal na MTU ambaye hana changamoto yoyote ya akili kiasi cha kumfunga gerezani two times
Sawa niambie shule alofundisha mwanza na ni mwaka gani? Napenda kutafuniwaHapana 😁 usichukulie serious wewe uliza