Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

Kweli nimekumbuka Nyangwisi loose Nut ana picha ya shule ya msingi ana ienzi kinoma sababu ndio levo pekee ya elimu aliyofika kabla ya kuanza kuvuta bange na kufanya fujo mtaani mpaka wakamchangia nauli kumpeleka Mamtoni ili asilete maafa zaidi mtaani
Sema hata maghayo inabidi tuwe karbu naye sana unajua zaman naye alikuwa smart sana kichwani huyu jamaa
 
Katoka kufungwa jela nazan kama miezi miwili iliyopita

Kwa sasa yuko mtaan tu

Humu jamiiforum alikuwa akianza kujenga hoja inabidi nyie wengine mkae mbali kabisa ni kama unavyowaona kwa sasa akina kiranga huwezi jibishana nao kwa hoja, ndo jamaa alivyo kuwa mwenye jamiiforum wakuitwa Mello anamjua Kuna siku alimpiga biti akatulia tuliiiiii
Duhh mbona hatari! Kwahiyo hivi vitu vilivyoandikwa huko juu ndio mfano wa spana zake za zamani?
 
Back
Top Bottom