cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Nahisi bado, [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ile album ya mnziki aliyotuambia iko tayari aliitoa?
Nahisi bado, [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ile album ya mnziki aliyotuambia iko tayari aliitoa?
Aliwahi kuwika sana hapa JukwaaniNdio nan huyo? Mbona amekaa kama anakunywa gongo?
Wakati Obama Anatangaza Ziara KenyaWatoto wadogo Wa JF hawamjui Kisandu A.K.A Mme wa Maria Obama.
Wakati Obama Anatangaza Ziara KenyaWatoto wadogo Wa JF hawamjui Kisandu A.K.A Mme wa Maria Obama.
HahahahahaSaa mbovu imerekebishwa majira...🤣
Jamaa alikua mwalimu huko kahama, then akazingua kitu flani nishahaha ingawa ilikua ni mambo ya harakati akatiwa nondo.
Alipo toka kichwa ikayumba akaanza ku rap sijui ikawaje.... mara akatangaza kutimba kwa Obama kumchumbia Malia.....yaani hii dude ilikua ni fully hekaheka memba wa Jf kitambo sana huyu Don Nalimi Son.
Karibu jamiiforumsWho the fvck is that coin?
Karibu jamiiforumsMasharti kibao , muonekano kama kibaka
Bro utakuwa mgeni humuNdio nan huyo? Mbona amekaa kama anakunywa gongo?
Jamaa msumbufu sana na alishawahi kifungwa uyu katusumbua sana hapa JFNdiyo huyu aliwahi kuepelekwa mahakamani akidaiwa matunzo ya watoto.akatoa utetezi kwamba mimba sio zake sababu ana kibami@ hawezi kutungisha.
JF iinakuwaga na watu wake kina mpwayungu village na hawa kina kisandu sijui wanapoteleaga wapiBora umerudi
JF ilipoa sana
Kitumbua cha mchele kina nini mbona umekiweka kwenye trash?Anajiona keki kumbe kitumbua cha mchele tu🚮
Kina mafuta mengi😀Kitumbua cha mchele kina nini mbona umekiweka kwenye trash?