Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Gongo inashida gani?Ndio nan huyo? Mbona amekaa kama anakunywa gongo?
Gongo inashida gani?Ndio nan huyo? Mbona amekaa kama anakunywa gongo?
Wewe unakunywa Gongo? Au umeanza kunywa Gongo?Gongo inashida gani?
Kama Mama yako Mzazi.Oya tulia wewe paka umevaa mivani na tie small pussy
Haya nimekusamehe nenda sasa leo umenywea mkia umeufyata matakoni kokorikoKama Mama yako Mzazi.
Kama ilivyo kwa Mama yako Mzazi. Eti nimeufyata yaani Kukudharau na kupoteza muda wangu Kujibizana nawe ndiyo unajiona umeniweza? Nadhani Wewe ni Mgeni wa Mkongwe toka 2013 GENTAMYCINE hapa JamiiForums.Haya nimekusamehe nenda sasa leo umenywea mkia umeufyata matakoni kokoriko
Gongo nakunywa No1 hata home ipo nusu lita huwa nakunywa kuondoa maradhi ya mwili.Wewe unakunywa Gongo? Au umeanza kunywa Gongo?
Mwanangu kweli wewe huna akili nilikua nakupimia tu umejaa hahaha kweli chizi mwendawazimuKama ilivyo kwa Mama yako Mzazi. Eti nimeufyata yaani Kukudharau na kupoteza muda wangu Kujibizana nawe ndiyo unajiona umeniweza? Nadhani Wewe ni Mgeni wa Mkongwe toka 2013 GENTAMYCINE hapa JamiiForums.
Najua unachokitaka ni Majibizano nami ili ID yako ijulikane haraka kwakuwa GENTAMYCINE ni Galacha (Nyota na Mtu maarufu JF) hivyo strategically unataka Lifti ya bure kutoka Kwangu ili Watu (Members) waweze kuiona na kuijua hii ID yako.
Tambua tu kuwa nina Akili hakuna mfano.
Juha mkubwa Wewe.
Cc: Makebo
Sinywi na situmii labda bia kusuuza koo ila sio Gongo unaijua Gongo vizuri achana na hizi chemical wanachanganya ethanol sijui na sulphide acid wanawekea kwenye vichupa wanawaambia Gin unaijua Gongo ile pure Gongo?Gongo nakunywa No1 hata home ipo nusu lita huwa nakunywa kuondoa maradhi ya mwili.
Wewe umewahi kunywa? Kama sivyo unawezaje kukosoa kitu hujawahi kukitumia ?
Duuh aalikufa nani tena huyu Deo?Hivi deo hakumpata Malia Obama???? Na si alikufa huyu.
Naendelea kuamini kuwa mwanamke ni kiumbe pekee mwenye huruma duniani.
Mkuu bibi yangu mdogo ni mkemia mzuri sana wa Gongo tangu na tangu japo hana shule yoyote Ile hapa nilipo najua process zote za gongo usiniulize kwamba unaijua gongo mimi mwenyewe nikiwa na bibi tunatengeneza vzr tu. Bibi katajirikia kwenye hiyo pombe.Sinywi na situmii labda bia kusuuza koo ila sio Gongo unaijua Gongo vizuri achana na hizi chemical wanachanganya ethanol sijui na sulphide acid wanawekea kwenye vichupa wanawaambia Gin unaijua Gongo ile pure Gongo?
Ile no1 ninayo nzuri sana kwa afya bibi huwa ananiuliza kama imeisha anatuma chupa la dasani (jina maarufu) lkn ni chupa la maji JamboSinywi na situmii labda bia kusuuza koo ila sio Gongo unaijua Gongo vizuri achana na hizi chemical wanachanganya ethanol sijui na sulphide acid wanawekea kwenye vichupa wanawaambia Gin unaijua Gongo ile pure Gongo?
Niambie process 5 za awali za uandaaji wa Gongo kabla hujaipata Gongo yenyewe pure achana na makapi, unabidi ufuate hatua zipi? Niambie hatua kwa hatua usije ukawa unajisifia kitu ambacho haukijui mkuuMkuu bibi yangu mdogo ni mkemia mzuri sana wa Gongo tangu na tangu japo hana shule yoyote Ile hapa nilipo najua process zote za gongo usiniulize kwamba unaijua gongo mimi mwenyewe nikiwa na bibi tunatengeneza vzr tu. Bibi katajirikia kwenye hiyo pombe.
No. 1 ni Gongo ya koroba ya miaka hio ya muda mrefu hio Gongo ya PacketIle no1 ninayo nzuri sana kwa afya bibi huwa ananiuliza kama imeisha anatuma chupa la dasani (jina maarufu) lkn ni chupa la maji Jambo
Hii kazi sitaiweza ni kunipotezea muda kama maelezo hayo hujayaamini hata kama nikituma hizo procedure hutakubali bado.Niambie process 5 za awali za uandaaji wa Gongo kabla hujaipata Gongo yenyewe pure achana na makapi, unabidi ufuate hatua zipi? Niambie hatua kwa hatua usije ukawa unajisifia kitu ambacho haukijui mkuu
Nitakutajia hatua 3 za awali za kutengeneza Gongo, hatua ya kwanza ni kukusanya uchafu wote unaoujua wewe uwe wa mazao, mabaki ya vyakula, mabaki ya mazao, mabaki ya mizizi, mabaki ya mbegu, mabaki ya matunda, nk changanya pamoja loweka siku zisizopungua 3Hii kazi sitaiweza ni kunipotezea muda kama maelezo hayo hujayaamini hata kama nikituma hizo procedure hutakubali bado.
Kwetu kijana mwenye lika letu awe amesoma hajasoma anajua sana ku process gongo. Maana ndio biashara tumeikuta ikifanywa na wazazi wetu ...sisi pekee kwetu ndo haikuwa inatengenezwa mzee alikuwa mtu wa dini mpaka leo pia alikuwa mwalimu
Haya sijayaomba uyataje na hayana umuhimu hapa unachopaswa uelewe nakunywa Gongo pure No1 ukubali ukatae hizo sio shida zangu mkuu.Nitakutajia hatua 3 za awali za kutengeneza Gongo, hatua ya kwanza ni kukusanya uchafu wote unaoujua wewe uwe wa mazao, mabaki ya vyakula, mabaki ya mazao, mabaki ya mizizi, mabaki ya mbegu, mabaki ya matunda, nk changanya pamoja loweka siku zisizopungua 3
Gongo hio inaandaliwa hapo unaenda hatua ya pili ni kuandaa Pipa zako km 2 au kwa production kubwa basis walau uwe na Pipa 4 na mirija hakika mapipa yako yana mifumoko hakikisha una kuni za kutosha pia
Baada ya hapo unaenda hatua ya 3
Habari zake huwa zinanichanganya sina hakikaDuuh aalikufa nani tena huyu Deo?
Chizi na Mwendawazimu ni Mama yako Mzazi. Naona baada ya Moderators kukuonya na ile ID yako sasa umeona uanze Kuitumia hii ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na sitokushtukia.Mwanangu kweli wewe huna akili nilikua nakupimia tu umejaa hahaha kweli chizi mwendawazimu
Yaan alikufa lakini bado anaendelea kuandika JF?Habari zake huwa zinanichanganya sina hakika