Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

Duhh dunia ina mengi! Na mkolani iko vzr pia.. so sahivi ni nani?
Soma upate maarifa mapya sio kuwaza yale makitu tu muda wote jamaa anataka kuoa bikra je sasa hivi una bikra mpya au bado unayo ile ile ya zamani? Tunataka tulifinye pilau nyama sisi
 
Baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kua Asubuhi News ndo Deo Kisandu. Naona ameamua kuanzisha na gazeti kabsa. Ni hatua kubwa lakini nadhani kuna hatua za haraka zinatakiwa kuchukuliwa na watu wake wa karibu kwasababu naona hali inazidi kua mbaya. Inasikitisha sana na wala sio jambo la kuchekesha. Bonyeza hii link kujionea maajabu ya ndugu yetu huko Facebook Civilian Coin
 
Soma upate maarifa mapya sio kuwaza yale makitu tu muda wote jamaa anataka kuoa bikra je sasa hivi una bikra mpya au bado unayo ile ile ya zamani? Tunataka tulifinye pilau nyama sisi
Nimeshakwambia bora nimpe paka alambe sio kuwatengea wewe na huyo mental mwenzio!
 
Back
Top Bottom