DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Yes nadhani vijana kama nyie mmeanza mfatilia kisandu kipindi amepata hiyo shida ya akiliKuna wakati alidai asili yake yeye ni USA sio mbongo na akaandaa Uzi mrefu wenye hoja tetezi na akakataa asili ya kwao.
Alishajaribu kuwa mwanamuziki , video na nyimbo zake ni vichekesho halafu jamaa alikuwa siriaz anajiona bonge la msanii
Ila huyo jamaa miaka ya nyuma alikuwa Smart sana upstairs kuandika andika mambo ambayo haya make sense kaanza around 2016 na 2018 akawa anaandika Facebook
Nadhani familia yake na watu wake wa karibu hawakuona hili mapema
So huyo kagombea mpaka ubunge na alikuwa mwenyekiti wa BAVICHA Tanga .
Ana CV kubwa sana ni vile ana mental issue kwa Sasa.