leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Niliwahi kusoma humu degratius kisandu kafa sina hakika.Yaan alikufa lakini bado anaendelea kuandika JF?
Humu jf si unabonyeza tu defaults setting

Basi tulia naona unaanza kuvuka mstari. Tuishie hapo mambo yasiwe mengi unataka kujaza inzi pigo za mashoga hizo naenda kusema kwa Mods tumalizane kiume unaenda unaenda kusema unaenda kusema mwisho utazibuliwa nyuma tumalizane wenyewe hapa tumeanzana wenyewe tumalizane wenyewe umeufyata unataka ukaseme utaukaliaChizi na Mwendawazimu ni Mama yako Mzazi. Naona baada ya Moderators kukuonya na ile ID yako sasa umeona uanze Kuitumia hii ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na sitokushtukia.
Endelea ili na hii nayo niiripoti Uadabishwe.
Mwaka gani huo tena?Niliwahi kusoma humu degratius kisandu kafa sina hakika.
Humu jf si unabonyeza tu defaults setting
Basi tulia naona unaanza kuvuka mstari. Tuishie hapo mambo yasiwe mengi unataka kujaza inzi pigo za mashoga hizo naenda kusema kwa Mods tumalizane kiume unaenda unaenda kusema unaenda kusema mwisho utazibuliwa nyuma tumalizane wenyewe hapa tumeanzana wenyewe tumalizane wenyewe umeufyata unataka ukaseme utaukalia
Je na yeye ni bikra?WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).
Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma, yaani unaoa utakaye bikiri(utakaye muondolea usichana wake). Mila hii ya kisukuma husababisha ndoa kudumu na mapenzi kuwa imara. Mara nyingi Wanawake walioondolewa usichana wao huwa hawadumu Kama walio waondolea usichana wao wapo hai. Wengi huwarubuni kwa kigezo Cha kwamba ndio waliwafungua milango ya mapenzi.
Nimeona ni vyema nipate mwenza ambaye bado msichana mbichi kabisa Tena bikira na huyo hawezi kwenda kinyume na mipango ya Mungu, Kama nikipata msukuma mwenzang(Tanzania), itakuwa Safi zaidi maana tutaelewana kwa lugha au raia wa United States of America (Marekani) au Africa kusini na awe mweusi mwenzangu atakaye tunza utamaduni wa mtu mweusi. Najua wengi watachukia lakini Bora wanichukie ili nitimize malengo yangu na TAMAA yangu.Mama yangu mweusi, baba yangu mweusi na Mimi ni mweusi na Bikira mweus
Mungu bariki kabila Langu la Wasukuma, Mungu bariki wazazi wangu mbariki mwanamke bikira atakaye patikana kuolewa na Civilian Coin. Mungu na MALAIKA wako wote na watakatifu wako wote mbariki Civilian Coin apate jiko Takatifu(Binti/Mwanamke Bikira Mtakatifu).
Asanteni.
View attachment 3583007
Leo, Jumamosi, May2,2026.
Civilian Coin ametangaza rasmi kuoa Binti mbichi(mwanamke aliye bikira), kwa maelezo yake ni kuwa yeye hajawahi kuwa na Mahusiano na mwanamke bikira na hivyo hatooa mpaka apate mwamke bikira. Moja ya post zake FB hapo Chini.
Nimegundua mahali panapokufaa na salama kwako ni jela tu. Huku mtaani hautaacha kutusumbua.WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).
Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika maisha yangu na hivyo kwa nyakati hizi nimeamua kufuata Mila na desturi za kabila Langu la kisukuma, yaani unaoa utakaye bikiri(utakaye muondolea usichana wake). Mila hii ya kisukuma husababisha ndoa kudumu na mapenzi kuwa imara. Mara nyingi Wanawake walioondolewa usichana wao huwa hawadumu Kama walio waondolea usichana wao wapo hai. Wengi huwarubuni kwa kigezo Cha kwamba ndio waliwafungua milango ya mapenzi.
Nimeona ni vyema nipate mwenza ambaye bado msichana mbichi kabisa Tena bikira na huyo hawezi kwenda kinyume na mipango ya Mungu, Kama nikipata msukuma mwenzang(Tanzania), itakuwa Safi zaidi maana tutaelewana kwa lugha au raia wa United States of America (Marekani) au Africa kusini na awe mweusi mwenzangu atakaye tunza utamaduni wa mtu mweusi. Najua wengi watachukia lakini Bora wanichukie ili nitimize malengo yangu na TAMAA yangu.Mama yangu mweusi, baba yangu mweusi na Mimi ni mweusi na Bikira mweus
Mungu bariki kabila Langu la Wasukuma, Mungu bariki wazazi wangu mbariki mwanamke bikira atakaye patikana kuolewa na Civilian Coin. Mungu na MALAIKA wako wote na watakatifu wako wote mbariki Civilian Coin apate jiko Takatifu(Binti/Mwanamke Bikira Mtakatifu).
Asanteni.
View attachment 3583007
Leo, Jumamosi, May2,2026.
Civilian Coin ametangaza rasmi kuoa Binti mbichi(mwanamke aliye bikira), kwa maelezo yake ni kuwa yeye hajawahi kuwa na Mahusiano na mwanamke bikira na hivyo hatooa mpaka apate mwamke bikira. Moja ya post zake FB hapo Chini.
Asilimia kubwa ya wanawake wa kimachame ni bikra .... Kazi kwakoWARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA).

Watoto wa jana JF hamwezi kumjua huyu mwamba.Namimi nimejiuliza kama mwizi mwizi hivi😂
Hivi ile album ya mnziki aliyotuambia iko tayari aliitoa?Huyu Deo bado yupo? Sijui alipotelea wapiii. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
ID yake mpya hii?Nimegundua mahali panapokufaa na salama kwako ni jela tu. Huku mtaani hautaacha kutusumbua.
Hajafa bwana. Alikuwa jela.Niliwahi kusoma humu degratius kisandu kafa sina hakika.
Humu jf si unabonyeza tu defaults setting
Mvua gani tena!Watoto wa jana JF hamwezi kumjua huyu mwamba.
Anakulaga mvua za kutosha.
Elewa maana MVUA
Mkolani secondary alikuwa mwalimu wa history na geoShule gani?
Ndiyo maana yake. Huwa anajifanya ni akili kubwa. Hivyo anatuzoom tu.Ndio
ID yake mpya hii?
Zwazwa na limbukeni. Kwani, naye ni bikra?
Pole yakeHajafa bwana. Alikuwa jela.
Yeye na JAMHURI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZENJI ni chui na paka