Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Aj
Ajira 😅😅😅
 
Makengeza hadi kwenye kufikiri na rohoni, not just an outside phenotype! hata genotype iko hivyo
 
Haya yote yamepangwa. Mwelekeo ni uleule.
 
This guy is VERY intelligent. I wish waheshimiwa Wabunge wetu wote wangekuwa na umoja katika hili suala nyeti & la lazima kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu.
 
Nchi ina wajinga wengi sana hii. Kwani wakati huyo magufuli wake anaingia madarakani hakukuta miradi iliyoachwa na mtangulizi wake?
Kwani si nyie akina Mnyika ndio mliomba apatikane Rais sampuli ya No Nonsense eikeiei Bulldozer!???
 
Hata Kadafi aliwafanyia Watu wake makubwa mengi tu.
 
Umeandika kwa hisia sana! ^Hakuna Katiba iliyo juu ya maslahi ya umma^


Nimekuelewa sana

cc:
UFIPA
BAVICHA
KAMBI RASMI YA UPINZANI
MR HEAVY
MR FARU J
MR ^MEEEEN^
MR ^MURA^
MR MUSIC
MR BISHOP
MS SAUTI YA Z
MS EM
MS EB
 
Bangi zimepanda!
 
Mkuu mimi ni CCM dam dam!! Yaani huniambii kitu kuhusu CCM !!![emoji849]
Ulivyosema tu eti ^sikwambii kitu kuhusu Sisiemu^ nikajua kabisa kumbe wewe siye, maana Sisiemu niwajuao mie wanaambilika. Pole sana lakini kwa kudhani ^umeingia cha hakika^ kumbe duh!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaumwa wewe kapimwe corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…