THE NEXT DON
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 307
- 302
Aj
Ajira 😅😅😅Natoa wito kwa watanzania wote ikibidi tufanye maandamano yasiyo na kikomo kumlazimisha mh rais kuongeza muda..hii ni kwa maslahi mapana ya taifa..MTU ameitoa nchi matopeni kwenye lindi la rushwa,umaskini,ufisadi,ujinga,utegemezi n.k na kuipaisha hadi nchi yenye neema tele ndege,elimu bure,ajira,uwajibikaji,afya bora,miundombinu,uwazi,demokrasia na shibe harafu tumwachie eti kwa matakwa ya maandishi tu nyie mwayaita katiba..hakuna katiba iliyo juu ya maslahi ya umma...niko tayali kuandamana hata ikibidi nipigwe risasi nife kutetea maslahi ya watu..narudia ALAZIMISHWE AONGEZA WALAU MIAKA 20